Hivi haya mawazo ya wazungu au ngozi nyeupe wanapenda anal sex yametoka wapi?

Mh uzi ni kama umeanzia katikati yani mkuu umekuja unatema sumu tu juu ya hili jambo[emoji23][emoji23]

Wamegoma kupokea mahari ya ngozi nyeupe nn????
 
Hembu unganisha uzi uliouna hapa JF unaoongelea hilo unaloongelea.
 
Kwahiyo mitaani tayari wanakuvumishia unaliwa Ndogo? Hata kama unaliwa kweli ila kinachowasumbua ni

WIVU TU
 
Hivyo ndivyo waafrica tulivyo. Tuna roho mbaya sana na choyo kwa watu wa jamii nyengine na yote yanakuja kutokana sisi wenyewe kujiona ni dhaifu mbele yao.

Ukichukuliwa na Mwanaume mweupe utaambiwa unaliwa nyuma, ukichukua mwanamke mweupe utaambiwa unamla nyuma yani utafikiri sisi wenyewe kwa wenyewe hatufanyiani hayo mambo.

Nilwahi ona ugomvi wa familia kabisa jirani, mtoto wa kike amekuja kuchumbiwa na muarabu wanafamilia wengi wamechachamaa kuwa mtoto wao atakwenda kuliwa nyuma kwahiyo hawamtaki huyo mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…