Hivi hii Cecafa kagame cup Ina maana au ni aina nyingine ya usumbufu kwa mabingwa

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu
Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye malengo makubwa na magumu anyway ngoja tuone
 
Wapigaji wamekosa ela wamefikiria mbinu mpya ya kuchukua ela Kama walivyofanya ngao ya jamii kuwa mashindano ya timu 4 wakati huko tulipo kopi ulaya ni mechi moja tu .
usikariri check spain utapata maarifa zaidi
 
Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu
Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye malengo makubwa na magumu anyway ngoja tuone
Kwani lazima washiriki
 
Wapigaji wamekosa ela wamefikiria mbinu mpya ya kuchukua ela Kama walivyofanya ngao ya jamii kuwa mashindano ya timu 4 wakati huko tulipo kopi ulaya ni mechi moja tu .
Team ziachwe zitulie msimu ujao ni mgumu na malengo yake ni makubwa
Hawa wanataka wachezeshe karata wanavyojua zikutane big team wapige mamilioni wayagawanye washibishe matumbo Yao
 
Lakini ni moja ya pre season hayo mashindano.
 
Mashindano gani hayo! Hata pale yalipokosekana, pengo lake halikuonekana. Ni kama yale tu ya Mapinduzi kule Zanzibar.
 
Ngoja tuone viongozi wataamua vipi ila wajue mashabiki wanataka NBC Crdb na ngao ya hisani pamoja na nusu ya cafcl
 
Na hakuna shabiki anaewaza haya mashindano maana huibuka na kufa kama yalivyo mabonanza mengine
 
Kama haiongezi alama CAF, haina maana
Ni bonanza ambalo hata lengo lake halijulikani huwa kagame akiacha kuweka hela linakufa Kisha linafufuka tena
Hata umisseta Ina muendelezo kuliko kagame Cecafa cup
 
Ngoja tuone viongozi wataamua vipi ila wajue mashabiki wanataka NBC Crdb na ngao ya hisani pamoja na nusu ya cafcl
Kwa jinsi walivyoyaweka ni kama ni sehemu ya kuziandaa timu kuelekea msimu mpya. Na ndio maana imewekwa mwezi wa July kabla pazia la ligi kuu na mashindano ya CAF hayajaanza. Hii ni nzuri kwa kuandaa kikosi hasa kutokana na maingizo mapya.

Tukumbuke timu haziwezi ku relax tu miezi yote, hata kama kusingekuwa na haya mashindano ni lazima timu zingefanya maandalizi ya msimu mpya kwanzia mwezi huo huo wa Saba kwa timu zingine kusafiri na zingine zingebakia nchini mwao na kuomba mechi mbalimbali za kirafiki ili kujiwekea utimamu kwa msimu mpya. Au unafikiri wachezaji wa Yanga wangepumzika tu hadi kukutana na mechi za ngao ya jamii?
 
Najua huwa hawapumziki mkuu kwamba ni lay man kiasi hicho hapana najua kocha huwa anachagua mechi za kawaida kama kina dar city ili kutafuta muunganiko wa team na sio mashindano ambayo yatakuwa magumu
Sio mbaya huenda ikawa next level na ikawa na manufaa zaidi ngoja ifanyike itasaidia pia kuleta dollar zilizoadimika
 
Mzeee tumbotumbo ndiye Rais wa shirikisho hilo..... Ni tapeli na mwizi wa pesa zisizo na macho kama hizo. Nategemea kuona timu zikichezesha vikosi c mpaka vijana u 20.
 
Back
Top Bottom