usikariri check spain utapata maarifa zaidiWapigaji wamekosa ela wamefikiria mbinu mpya ya kuchukua ela Kama walivyofanya ngao ya jamii kuwa mashindano ya timu 4 wakati huko tulipo kopi ulaya ni mechi moja tu .
Wabongo huwawezi bora kuwaacha kama walivyousikariri check spain utapata maarifa zaidi
Kwani lazima washirikiMashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu
Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye malengo makubwa na magumu anyway ngoja tuone
Team ziachwe zitulie msimu ujao ni mgumu na malengo yake ni makubwaWapigaji wamekosa ela wamefikiria mbinu mpya ya kuchukua ela Kama walivyofanya ngao ya jamii kuwa mashindano ya timu 4 wakati huko tulipo kopi ulaya ni mechi moja tu .
Hapo ndio tutaona timu gani Ina viongozi wanaojielewaTeam ziachwe zitulie msimu ujao ni mgumu na malengo yake ni makubwa
Hawa wanataka wachezeshe karata wanavyojua zikutane big team wapige mamilioni wayagawanye washibishe matumbo Yao
Lakini ni moja ya pre season hayo mashindano.Team ziachwe zitulie msimu ujao ni mgumu na malengo yake ni makubwa
Hawa wanataka wachezeshe karata wanavyojua zikutane big team wapige mamilioni wayagawanye washibishe matumbo Yao
Kwa jinsi walivyoyaweka ni kama ni sehemu ya kuziandaa timu kuelekea msimu mpya. Na ndio maana imewekwa mwezi wa July kabla pazia la ligi kuu na mashindano ya CAF hayajaanza. Hii ni nzuri kwa kuandaa kikosi hasa kutokana na maingizo mapya.Ngoja tuone viongozi wataamua vipi ila wajue mashabiki wanataka NBC Crdb na ngao ya hisani pamoja na nusu ya cafcl
Najua huwa hawapumziki mkuu kwamba ni lay man kiasi hicho hapana najua kocha huwa anachagua mechi za kawaida kama kina dar city ili kutafuta muunganiko wa team na sio mashindano ambayo yatakuwa magumuKwa jinsi walivyoyaweka ni kama ni sehemu ya kuziandaa timu kuelekea msimu mpya. Na ndio maana imewekwa mwezi wa July kabla pazia la ligi kuu na mashindano ya CAF hayajaanza. Hii ni nzuri kwa kuandaa kikosi hasa kutokana na maingizo mapya.
Tukumbuke timu haziwezi ku relax tu miezi yote, hata kama kusingekuwa na haya mashindano ni lazima timu zingefanya maandalizi ya msimu mpya kwanzia mwezi huo huo wa Saba kwa timu zingine kusafiri na zingine zingebakia nchini mwao na kuomba mechi mbalimbali za kirafiki ili kujiwekea utimamu kwa msimu mpya. Au unafikiri wachezaji wa Yanga wangepumzika tu hadi kukutana na mechi za ngao ya jamii?