Hivi hii hali inawapata hawa gen zee wala kiepe?

Hivi hii hali inawapata hawa gen zee wala kiepe?

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
547
Reaction score
892
Nikiwa nje ya mkoa kikaz bibi anabaki darisalama.

Ikiwa nimekata mwezi mzima bila kukutana na bibi enu najikuta kuna muda napata ashiki hata niking'ang'ania nguzo ya umeme namwaga wazungu.

Na vilevile mida ya asb kama saa Kumi na moja wazungu wanamwagika kama balaa. Nikawa najiuliza kwa kula yangu kuku mbili kienyeji, hawa kizazi cha bodaboda aka Gen z wanakuwa na hali gani kwa kupenda kiepe kachumbari ka karoti.
 
Back
Top Bottom