Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Kwani mikoani hakuna Chips, maandazi na tambi mkuu??? mng'ato:Wanaume wa dar ndio wanakula hayo ma'supa geti'.
Vipo lkn ni kwa ajili ya wanaume wa dar wanaokuja kutembea huku mikoani.
Asubuhi chai na muhogo wa kuchemsha sio mbaya na samaki wa kukaanga au viazi vitamu uji wa ulezi uliochanganywa na mchele mahindi na maziwa fresh...Usiku wali nazi na mboga za majani au maharage ya nazi sio mbaya mkuuUnataka tule asubuhi ugali jion ugali mchana ugali, yani ugali kutwa mara tatu?
Wewe umefanya nini jamanii
Ugali kama vichwa vya watu aisee bora nilage tambi mimiHuku mkoani hatuna taabu hizo![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 986738
[emoji23][emoji106][emoji106]Huku mkoani hatuna taabu hizo![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 986738