Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Kama wewe ukiwa mtoto wa kiumeni
Asubuhi: unywe chai na maandazi mawili
Mchana: ule chips...
Usiku: unakula tambi na kulalia hizo hizo tambi, ukiulizwa madai unafanya diet
Sasa kwa hali hii si ni hatari sana kwa afya ya nyumbani kwako hata shemeji ukimfumania utaweza kuanzisha varangati kweli? Hapo kibao kimoja ukipigwa mbele ya mkeo lazima udumbukie mtaroni.
Chakula cha nguvu ni Ugali wa dona na samaki hata akiwa wa chuku chuku ndio Good...
NAWASILISHA>>>>>>>
Sent using Jamii Forums mobile app