Hivi hii imekaa sawa kweli makamanda?

Hivi hii imekaa sawa kweli makamanda?

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Kama wewe ukiwa mtoto wa kiumeni

Asubuhi: unywe chai na maandazi mawili

Mchana: ule chips...

Usiku: unakula tambi na kulalia hizo hizo tambi, ukiulizwa madai unafanya diet

Sasa kwa hali hii si ni hatari sana kwa afya ya nyumbani kwako hata shemeji ukimfumania utaweza kuanzisha varangati kweli? Hapo kibao kimoja ukipigwa mbele ya mkeo lazima udumbukie mtaroni.

Chakula cha nguvu ni Ugali wa dona na samaki hata akiwa wa chuku chuku ndio Good...

NAWASILISHA>>>>>>>
tapatalk_1546457906538.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume wa mikoani wanaona kula sana ndiyo kila kitu katika maisha
 
Unataka tule asubuhi ugali jion ugali mchana ugali, yani ugali kutwa mara tatu?
Asubuhi chai na muhogo wa kuchemsha sio mbaya na samaki wa kukaanga au viazi vitamu uji wa ulezi uliochanganywa na mchele mahindi na maziwa fresh...Usiku wali nazi na mboga za majani au maharage ya nazi sio mbaya mkuu

NYONGEZA: na juice ya tende iliochanganywa na mayai ya kienyeji, karanga mbichi, na maziwa fresh hiyo ndio itakuwa juice ya kunywa kutwa mara mbili asubuhi na jioni unakunywa grass moja mkuu BLACK MARXIST:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom