hivi hii inawezekana jaman HESLB

hivi hii inawezekana jaman HESLB

kirama00

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
27
Reaction score
0
jaman mimi npo first year civil eng chuo flan hapa tz sasa nilikuwa nauliza hivi inawezekana kuongeza mkopo wako kwa kuomba tena maana naona huu wa sasa haunitoshelez mahitaj yangu
 
kuongeza wanaongeza ada tu..na ukiwa mtoto wa maskini ingawa unaweza pigwa chini vile vile
 
ok nashukuru,kwani ukiomba unaanza upya means ule wa mwanzo wanaufuta au???
hamna kuna form zipo kwenye website ya board ya mkopo zinaitwa appeals..kama vipi zicheki now halafu uzihangaikie wakati wa likizo mtakapo rudi kwa semister nyingine ile ya kuanza mwaka hapo ndo mara nyingi hua zinakua submitted...over...
 
nashukuru
 
Back
Top Bottom