Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuongeza wanaongeza ada tu..na ukiwa mtoto wa maskini ingawa unaweza pigwa chini vile vile
hamna kuna form zipo kwenye website ya board ya mkopo zinaitwa appeals..kama vipi zicheki now halafu uzihangaikie wakati wa likizo mtakapo rudi kwa semister nyingine ile ya kuanza mwaka hapo ndo mara nyingi hua zinakua submitted...over...ok nashukuru,kwani ukiomba unaanza upya means ule wa mwanzo wanaufuta au???
hamna kuna form zipo kwenye website ya board ya mkopo zinaitwa appeals..kama vipi zicheki now halafu uzihangaikie wakati wa likizo mtakapo rudi kwa semister nyingine ile ya kuanza mwaka hapo ndo mara nyingi hua zinakua submitted...over...