Hivi hii inawezekanaje? Yaan kila nikijiuliza majibu hayaji hapa sijui nitumie 4 Figure au Mathematical Table?

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati.

Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
 
Jaribu hizi
Kipenyo cha pili au
MAGAZIJUTO
 
Uliweka miguu kwenye beseni?
 
Back
Top Bottom