Hivi hii issue imekaaje viongozi?

Hivi hii issue imekaaje viongozi?

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,289
Reaction score
9,748
Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.

Issue iko hivi dogo ana niheshimu sana sina shida na heshima yake kwangu lakini kwenye simu yake kanisave jina langu kavu kabisa eti "Nkundwe" wakati Mimi wakubwa wangu kwangu wote, dada zangu na kaka zangu nimesave mfano Dada FaizaFoxy.

Huyu dogo nimemuona ananidhamu mbaya na ya uoga.

NB: Nimekata msaada kwake kama mabeberu.
 
Mkuu huyo binamu yako ana uhuru wa kukuita vyovyote anavotaka ili mradi asikuvunjie heshima,pia heshima yake kwako haipimwi kwa jinsi atavokusev kwenye simu.
Anyway mkuu nataka kuichukulia kawaida hila naona kama sio sawa kabisa mm brother zangu siwezi kuwasave majina yao halisi

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.

Issue iko hivi dogo ana niheshimu sana sina shida na heshima yake kwangu lakini kwenye simu yake kanisave jina langu kavu kabisa eti "Nkundwe" wakati Mimi wakubwa wangu kwangu wote, dada zangu na kaka zangu nimesave mfano Dada FaizaFoxy.

Huyu dogo nimemuona ananidhamu mbaya na ya uoga.

NB: Nimekata msaada kwake kama mabeberu.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Una kosa la jinai kuingilia faragha ya mtu pasi na ruhusa ya mwenye faragha
 
Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.

Issue iko hivi dogo ana niheshimu sana sina shida na heshima yake kwangu lakini kwenye simu yake kanisave jina langu kavu kabisa eti "Nkundwe" wakati Mimi wakubwa wangu kwangu wote, dada zangu na kaka zangu nimesave mfano Dada FaizaFoxy.

Huyu dogo nimemuona ananidhamu mbaya na ya uoga.

NB: Nimekata msaada kwake kama mabeberu.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio huna heshima, unamwita binamu "DOGO?"
 
Back
Top Bottom