Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.
Issue iko hivi dogo ana niheshimu sana sina shida na heshima yake kwangu lakini kwenye simu yake kanisave jina langu kavu kabisa eti "Nkundwe" wakati Mimi wakubwa wangu kwangu wote, dada zangu na kaka zangu nimesave mfano Dada FaizaFoxy.
Huyu dogo nimemuona ananidhamu mbaya na ya uoga.
NB: Nimekata msaada kwake kama mabeberu.