Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Mwanangu ni dogo sana kwangu sana tena afu nampenda ww hapo unaona sawa?Ko shida ni kuwa kuseviwa kaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway mkuu nataka kuichukulia kawaida hila naona kama sio sawa kabisa mm brother zangu siwezi kuwasave majina yao halisiMkuu huyo binamu yako ana uhuru wa kukuita vyovyote anavotaka ili mradi asikuvunjie heshima,pia heshima yake kwako haipimwi kwa jinsi atavokusev kwenye simu.
Mkuu anyway labda mm nimechukulia hovyo Mzee lakini kwangu sioni sawa hii kitudah, nilikuheshimu sana mkuu.... hiyo 'kaka' inakuongezea nini
Sawa ngoja nione normal JoanahAtakuwa kakuzoea sana which is not bad kama ana nidhamu
Una kosa la jinai kuingilia faragha ya mtu pasi na ruhusa ya mwenye faraghaJuzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.
Issue iko hivi dogo ana niheshimu sana sina shida na heshima yake kwangu lakini kwenye simu yake kanisave jina langu kavu kabisa eti "Nkundwe" wakati Mimi wakubwa wangu kwangu wote, dada zangu na kaka zangu nimesave mfano Dada FaizaFoxy.
Huyu dogo nimemuona ananidhamu mbaya na ya uoga.
NB: Nimekata msaada kwake kama mabeberu.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio huna heshima, unamwita binamu "DOGO?"Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.
Issue iko hivi dogo ana niheshimu sana sina shida na heshima yake kwangu lakini kwenye simu yake kanisave jina langu kavu kabisa eti "Nkundwe" wakati Mimi wakubwa wangu kwangu wote, dada zangu na kaka zangu nimesave mfano Dada FaizaFoxy.
Huyu dogo nimemuona ananidhamu mbaya na ya uoga.
NB: Nimekata msaada kwake kama mabeberu.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Kwani Bandari ya Mzee wangu??????Yani tunapambana bandari isiuzwe ww unalalamika jina dah!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe basi huna kabisa kwann? Usimsave hivyo Bi mkubwa wako?aisee [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],, basi mimi nitakua sina nidhamu maana ukimtoa mama na baba wengine wote nimewasave majina yao wengine mawili kabisa
Dogo inamaana gan Kwan?Wewe ndio huna heshima, unamwita binamu "DOGO?"
Hapana Mzee kuna issue tulikua tunacheck tuUna kosa la jinai kuingilia faragha ya mtu pasi na ruhusa ya mwenye faragha