Hivi hii issue imekaaje viongozi?

Duuh, sikuwahi kufikiria kama kuna watu ni mafala kiasi hiki[emoji16][emoji16].
 
Kuna mtoto wa sister yuko form6
Nilikuta kuamsave baba yake "Faru" na mama yake "Mnoko"
Watoto wetu hao achana na hao wadogo zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora hata ange save, "kaka nkundwe"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila heshima sio kuseviwa kwa cm, ni matendoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…