Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
 
Kama kuna kodi imelipwa watuoneshe ushahidi wa risiti
 
Ndio maana naziona ziko gari nyingi mnoo za hiyo kampuni, afu ni gari mpya tyuuh.

Kuna siku gari baadhi zilipaki pale shell ya mburushi msamala, zilikua km 15 vile, zimewaka hatari. Lol
 
Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
Halita salia jiwe juu ya jiwe
 
Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
Wazee wa mifumo apo lazimawashafanya yao mifumo ya kodi na iyo kampuni inasomana ndani kwa ndani wasipolipa ni kama wameshalipa.
 
Ya gizani yamenuliwa, kama makaa ya mawe yalikua hayaongelewi kabisa, ila sasa moto una waka
 
Watu wanachimba makaa ya mawe hawalipi kodi harafu wapo busy kuongeza kodi sijui ya Ukimwi kwenye kuingiza magari wakati wapo wahuni wachache wanajichukulia mali za Nchi bure kabisaa...
TRA njooni mjibu huku sio kubaki kutoa Elimu tu kwa walipa kodi..
 
Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
Duh
 
Back
Top Bottom