Kama kuna kodi imelipwa watuoneshe ushahidi wa risitiWakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
Halita salia jiwe juu ya jiweWakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
Nenda TRAKama kuna kodi imelipwa watuoneshe ushahidi wa risiti
Wazee wa mifumo apo lazimawashafanya yao mifumo ya kodi na iyo kampuni inasomana ndani kwa ndani wasipolipa ni kama wameshalipa.Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
DuhWakuu

Kweli kabisa atafute facts in full.Nenda TRA