Hivi hii kauli ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imeekaaje?

Mwandishi alimaanisha tufanye maamuzi tukiwa hatuna nyege ,yani kichwa cha juu kifikiri mbele ya kichwa cha chini tunapokuwa na mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…