Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Mwalimu ulifeli wapi au alianza dipresheni tangu utotoni?Na amegoma kabisaaa kuandika vizuri๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Mpe darasa kidogo huko tandika๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐Mpe darasa kidogo huko tandika
Skuli gani hiyo tukaifungie๐คฃ๐คฃ๐,Labda yupo skuli je? Tutajuaje๐
Nimeshangaa sana kuona paja la uso.Kuna paja la uso na ni Mwachi analijua peke yake na hatuambii ๐ ๐ ๐
Ada nalipa mimi๐๐๐๐๐
Wee em sema kweli?Ada nalipa mimi
Niseme mara ngapi.Wee em sema kweli?
Achana na mimi uko๐คฃ
Majungu una yawezaNimeshangaa sana kuona paja la uso.
Huyu tumsapoti akapike hata kwenye meli za mizigo kuliko kuandika utumbo mwishowe afungwe akawe mpishi jela ๐
unao wangapi?Huwa inakera mno, mimi ndiyo maana wanagu nikitoka nawaacha nyumbani
Kulwa na Dotto hapa mtaani wananiita mama wawiliunao wangapi?
Majungu si unapikiaga mkuu, ila we jamaa unapenda mapishi yaani hata muda haujapita ushataja majungu ๐Majungu una yaweza
Upo kama Mimi Mzee Baba๐Nilivyosikia kutoka na mtoto nikajua demu,kumbe mtoto kama mtoto๐
Wafundishe tu wataelewa huna haja ya kuwanyima haki yao ya kutoka toka,Kulwa na Dotto hapa mtaani wananiita mama wawili
Achana na mimi bwna nisije kukupigaMajungu si unapikiaga mkuu, ila we jamaa unapenda mapishi yaani hata muda haujapita ushataja majungu ๐