Hivi hii meseji humu JF huwa inatokana na nini

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,579
Reaction score
21,407
Unakuta thead ina kichwa cha habari kinachokuvutia uisome,ila ukitaka kuifungua unakutana na "You do not have permission to view this page or perform this action",what the hell?.
 
Kuna post moja ilikuwa inasema kuwa LUCAS MWASHAMBWA ni C E O nayo ililambwa mapema.
 
Mwanga kutoka kwenye jua huchukua dakika 8 kufika duniani. Sasa ikitokea jua limezimika ghafla, sisi tutaendelea kufurahia mwanga wake huku tukiliona kawaida kwa dakika 8 zaidi japo utakuta lenyewe halipo tena ... Unajua nini kinatokea ukikutana na ulichokutana nacho?

Unaona thread kumbe Moderator wameshaifuta... Yaani unafungua kitu ambacho hakipo
 
Mwanga kutoka kwenye jua huchukua dakika 8 kufika duniani. Sasa ikitokea jua limezimika ghafla, sisi tutaendelea kufurahia mwanga wake huku tikiliona kawaida kwa dakika 8 zaidi japo utakuta lenyewe halipo tena ... Unajua nini kinatokea ukikutana na ulichokutana nacho?

Unaona thread kumbe Moderator wameshaifuta... Yaani unafungua kitu ambacho hakipo
Dah 😀🤣
 
Mwanga kutoka kwenye jua huchukua dakika 8 kufika duniani. Sasa ikitokea jua limezimika ghafla, sisi tutaendelea kufurahia mwanga wake huku tukiliona kawaida kwa dakika 8 zaidi japo utakuta lenyewe halipo tena ... Unajua nini kinatokea ukikutana na ulichokutana nacho?

Unaona thread kumbe Moderator wameshaifuta... Yaani unafungua kitu ambacho hakipo
sasa si wanajisumbua bure kufuta kwani tayari tumeishaisoma!
 
Mwanga kutoka kwenye jua huchukua dakika 8 kufika duniani. Sasa ikitokea jua limezimika ghafla, sisi tutaendelea kufurahia mwanga wake huku tukiliona kawaida kwa dakika 8 zaidi japo utakuta lenyewe halipo tena ... Unajua nini kinatokea ukikutana na ulichokutana nacho?

Unaona thread kumbe Moderator wameshaifuta... Yaani unafungua kitu ambacho hakipo
Jua huwa linazimika?
 
Back
Top Bottom