Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi?
Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu