BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
Uganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
straight to the point, maisha mafupi haya. Nitumie nusu saa kuandika wakati nikifikisha miaka 60 naanza kuhesabu siku za kufa.Mbon mvivu ww wa kuandika hapo sasa uzi umefika mwisho??
Kama una maanisha wese la petrol lipo. Pwani lipo sana uko Mtwara.
Petrol na gesi vinakaa kwenye eneo moja.
Hata kama tungekuwa nayo bado tungelia hivi hivi...Afrika ni laana.Uganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
Ebu nenda hapo kwa mangi agizia chochote ntapitia baadaye na renji yangu kulipa.straight to the point, maisha mafupi haya. Nitumie nusu saa kuandika wakati nikifikisha miaka 60 naanza kuhesabu siku za kufa.
Mafuta hayachimbwi kama maji kwenye visima vya mdundiko mkuu!Uganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
Bora umweleze. Kuchimba ni habari nyingine. Na pia ile ni km laana utashangaa mmeanza tu mara vikundi vya waasi vinaibuka. We unadhani mwarabu atapenda soko lake lipungue watejaMafuta hayachimbwi kama maji kwenye visima vya mdundiko mkuu!
kuchimba mafuta kukoje?Kuchimba mafuta si sawa na kuchimba mihogo mjue.
Kuna mambo ukiyatafakari unagundua kabisa sisi waafrika bado sana tena sanaaLile bomba la kwenda chongoleani naweza kusema ni miradi wa ovyo kuwahi kutokea maana huwezi kutengeneza Bomba la kuuza mafuta Ghafi nje AF unaowauzia wakuuzie mafuta masafi, wewe ulishindwa nini kutengeneza oil refineries za kutosha ukauza mafuta ukanda wote wa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu. Halafu sio Africa tu, Canada ina mafuta yanachimbwa lakini na private companies so wanaishia kulipa kodi serikali haipati ela nyingi kihivyo. Saudi Arabia walicheza kama Pele wakanunua hisa za makampuni ya kigeni yaliyokuwa yamewekeza kwenye uchimbaji shirika la uchimbaji wa mafuta likawa la serikali kabisa.Hata kama tungekuwa nayo bado tungelia hivi hivi...Afrika ni laana.
Waulize Nigeria, wanasulubika vibaya kisa mafuta.