Kabisa mkuu. Halafu sio Africa tu, Canada ina mafuta yanachimbwa lakini na private companies so wanaishia kulipa kodi serikali haipati ela nyingi kihivyo. Saudi Arabia walicheza kama Pele wakanunua hisa za makampuni ya kigeni yaliyokuwa yamewekeza kwenye uchimbaji shirika la uchimbaji wa mafuta likawa la serikali kabisa.
Si serikali haifanyi biashara kwenye nchi za kicapitalist.Kwanini serikali haiwezi kuchimba yani hata hizo nchi zilizoendelea!
Tatizo la kwanza hata si hela.kuchimba mafuta kukoje?
kuna kampuni zipo marekaani zinajiendesha kwa less than $20 million na zinachimba na kufanya refinery.
Nasisi tunatengeneza proxy, inachimba na kurefine na kuuza.
$20 mil ipo sawa na nusu bei ya ndege moja ya ATCL
Yapo ziwa nyasa ingawa wamalawi wanasema ziwa ni la kwaoUganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
Si serikali haifanyi biashara kwenye nchi za kicapitalist.
Dunia ya tatu shida pesa maana kutafuta mafuta na kufunga mitambo pesa ndefu sana ambayo hatuna ukizingatia na ufisadi basi ndivyo hao wageni wanakuja kujichukulia.
Hata hao Saudia mwanzo walikuwa ni collabo kati ya serikali na kampuni za kingeni baadae wakawanunua na kubaki serikali tu. Canada ina mafta mengi sana lakini hawafaidiki nayo moja kwa moja kama ilivyo Qatar na Saudia.
Kuna uwezekano ukaambiwa na wakubwa wetu huko waliko kuwa wewe hutakiwi kuchimba kwa sababu ukichimba utaharibu mazingiraUganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
Capitalist economy mkuu, serikali haifanyi biashara inakusanya kodiHiyo Canada ndio imenishangaza maana najua ni nchi iko vizuri kiuchumi sasa inakuwaje serikali inashindwa kuchimba mafuta?
Capitalist economy mkuu, serikali haifanyi biashara inakusanya kodi
Kuna vitu Duniani vinaendelea na wakubwa wa nchi wanajuwa huwezi fanya kitu kama hujakubaliwa na wadau kila kitu kina wadau wake ukifanya biashara yoyote utajuwa hilo kama wenye biashara hawajakubali huwezi fanya na hii ni kwa wafanya biashara wadogo, wakubwa na hata nchi kwa nchi. Mfano leo hii anzisha kiwanda cha maji ya kunywa wakati hujakubaliana na wadau wa maji ya kunywa wa Tanzania ni lazima utashindwa maana watakuhujumu tu.Kuna uwezekano ukaambiwa na wakubwa wetu huko waliko kuwa wewe hutakiwi kuchimba kwa sababu ukichimba utaharibu mazingira
Unajua shida kodi unachukua kidogo tu kwenye faida, halafu faida kubwa wanabaki nayo wao.Ahaa nimekupata mkuu sema huko swala la kodi ni serious japo wafanyabiashara huwa ni wajanja sana.
Unajua shida kodi unachukua kidogo tu kwenye faida, halafu faida kubwa wanabaki nayo wao.
Qatar na Saudi Arabia ndio wanafaidika sana moja kwa moja.
Hivi unajua Canada ni ya 3 kwa kuwa na mafta yani ikiwa nyuma ya venezuela na Saudia. Lakini Qatar inampiga bao
Venezuelea kuna kampuni ya serikali inayohusika na uchimbaji na uuzaji wa mafta lakini si unajua mabeberu na figisu zao walizoifangiaHuo utaratibu walioweka hizo nchi za kibepari sio mzuri maana wanawanufaisha tu wawekezaji wakati wana uwezo wa kuchimba mafuta.
Hao Venezuela nao vipi serikali inachimba yenyewe au wamekabidhi watu binafsi?
Venezuelea kuna kampuni ya serikali inayohusika na uchimbaji na uuzaji wa mafta lakini si unajua mabeberu na figisu zao walizoifangia
Kwa hiyo kujiuliza ni kwa nini? Mafuta yaliyopo Nigeria siyo yao, walishamilikishwa Shell miaka hiyoo wachimbe wa Nigeria wana shida ya mafuta mtaani sawa na sisi. Unaona na Uganda ndio hao Total na nchi kadhaa Africa story ni hiyo hiyo.Hata kama tungekuwa nayo bado tungelia hivi hivi...Afrika ni laana.
Waulize Nigeria, wanasulubika vibaya kisa mafuta.
Ni kweli kabisa.Panahitajika kiongozi imara sana kuweza kushindana na hao jamaa.
Profesa Muhongo alisema susi tunaweza kutengeneza haya maji ya kunywa, pipi,biscuits, na juice. Hii miradi mikubwa ya gesi hatuiwezi inahitaji mitaji mikubwa mno.Lile bomba la kwenda chongoleani naweza kusema ni miradi wa ovyo kuwahi kutokea maana huwezi kutengeneza Bomba la kuuza mafuta Ghafi nje AF unaowauzia wakuuzie mafuta masafi, wewe ulishindwa nini kutengeneza oil refineries za kutosha ukauza mafuta ukanda wote wa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Gas ya Mtwara imeishia mikononi mwa familia fulani, bora tuendelee kusubiri mpaka apatikane mwenye akili mwngine kama Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huenda tutachimba kwa faidaUganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?