Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 789
- 2,613
Nimekaa muda huu nikaanza kujiona kama vile kuna demu aliyekuwa anauza bar fulani ambaye nimeshakula mzigo mara kadhaa kipindi cha nyuma akiwa kwenye hizo kazi za u bar maid, ana mzigo hatari.. sio mkubwa kivile ila uko well shaped.
Sasa imepita miaka kama minne hivi ndiyo nikakutana nae leo asubuhi maeneo ya sinza nje ya kisupermarket flani uchwara na pembeni kuna toyota harrier nyeusi new model imepaki kama mita tano hivi kutoka alipo, basi tukaonana na kupeana hai na mastori ya kipindi kile tuna bang pamoja hapo ni full vicheko na furaha hasa ukizingatia kawa mzuri mara dufu.
Mara kwenye ile toyota harrier ikashuka njemba flani ndefu kidgo imenyoa kipara na mbavu kiasi... njemba ilishuka kwa speed ya light moja kwa moja kwangu na kunisukuma kwa nguvu mpaka nikaigonga bajaji iliyokuwa imepaki mita chache nyuma yangu.
Jamaa akaanza kubwata "unaongea na wanawake za watu unamjua huyu wewe? Au we mwizi!! Anaongea huku ananifuata. Na sababu sindi unyonge nikakaa sawa kwa lolote litakalotokea na hapo raia wameshaanza ku take attention ya kilichokuwa kikinaendelea pale.
Sasa jamaa si anajiona mbavu kiasi kuliko mimi akaja kwa full confidence akarusha ngumi nikaikwepa na kumjaza kelbu moja ya nguvu upande wa kulia wa taya karibu na kidevu jamaa chini. Akajaribu kuinuka lakini kwa kupepesuka nikamuwahi na teke la nguvu upande ule ule nilipopiga ngumi jamaa akazima chini kama kapoteza fahamu amelakia uso kichogo juu.
Nikamrukia kwa miguu yote miwili juu ya kisogo na uzito wangu wote ukatua juu ya kisogo chake jamaa kimya wala hatingishiki. Hapo nikaanza kusikia sauti za watu "oya jamaa umeua" huyu kafaa watu wakaanza kutawanyika kwa mawenge hawajui wafanye nini huku baadhi wakijaribu kunikaribia. Hapo mimi nikaamsha mbio.
Akili ishachanganyikiwa kwa zile sauti za watu zilizisema nimeua, nikachichora mpaka nikafanikiwa kudaka pikipiki mbele nikapanda costa nikashuka nikapanda tena pikipiki, nikashuka umbali flani nikadandia tena costa mpaka nikajikuta niko mbagala zakhem. Zakhem nikashuka nikachukua pikipiki mpaka kongowe.
Kongowe nikadandia gari ya mkuranga mkoa wa pwani. Kumbuka tukio ni la asubuhi na sijui kama jamaa kafa au vipi, na hii tayari ni saa tatu kasoro usiku. Sasa najiona nimebana kwenye kagkocery flani uchwara hapa mkuranga nakuta wadau wanapiga smart gin na kwa stori zao nikagundua hawa wengi ni wapiga debe au watu wanaoshinda sana stend ya mkuranga.
Nikaagiza na mimi smart gin mbili na embassy za 5000 napiga mafunda kadhaa ya smart gin na fegi za kutosha, kichwa kina mawenge sijapata jibu kama nimeua au vipi huku nimetega sikio kusuikiliza stori za hao jamaa wa mtaa na wapiga debe.
Mara anaingia jamaa flani kavaa pensi na tshirt yenye picha ya che guevara alafu kichwani ana mpama na sigara mdomoni akaita "oya dulla nigei smart mzee... chinji inayobaki niongezee fegi nitoe wenge" hapo ndiyo nikajua kuwa yule muuza kale kaglocery anaitwa dula. Jamaa akaendelea kuwapa hai na wale wadau wote pamoja na mimi kisha akakaa kwenye benchi.
Baada ya kukaa akaanzo kusema "wazee mambo ya ugomvi haya wakati unajijua una afya mbovu sio wazee... huko town maeneo ya sinza asubuhi ya leo mapema tu nasikia mtu kalimwa ngumi mpaka kafa... hajachomwa kisu wala nini ni makonde tu mtu kakata moto... alafu nasikia ni mbavu tu afya tele ila kalambishwa ardhi huko".
Watu aaacha bana sure?.... jamaa " kweli mzee hiyo ndo stori kubwa town huko alafu huyo mchizi aliyesababisha naskia kala kona mamaae... watu ni ny*ko".
Mimi moyo ukafanya "paaaaaah" nisijue cha kufanya. Kwanza nikachomoka pale kwa gia kama naongea na simu hivi nikatokomea gizani mitaa hata siijui huku.
Hapa najiona nimekaa nawaza niekekee wapi ili nisipatikane..
Ndiyo najiuliza hapa wadau kama ikitokea hiyo nielekee wapi ili nisidakwe!!!!
Lazima nitapata jibu tu kwa kukimbilia.
Wapi unafikiri inaweza ikawa maficho mazuri kwa huu msala?
Maana hapa najiona kabisa kichwa kinawaka moto maana hii lazima itangazwe pale I.T.V the super brand.