Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Kumtunza sio kumpa laki,kumtunza ni kununua maharagwe,sukari na unga na kuviweka ndani.Na umtunze kweli sio blah blah ukiombwa laki unatoa mijicho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtunza sio kumpa laki,kumtunza ni kununua maharagwe,sukari na unga na kuviweka ndani.Na umtunze kweli sio blah blah ukiombwa laki unatoa mijicho!
Mkuu kwema? How come tukataze vitu ambavyo sisi tulivipitia?Daah
Sawa mkuu ila hilo swali ulilomuuliza mwenzio daaah...mwanaume huyo etiMkuu kwema? How come tukataze vitu ambavyo sisi tulivipitia?
Habari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo, mashuka hadi nguo za ndani night dress etc
2. Sasa kazi ya bwana harusi ni nini? yaani unampa binti yako na sehemu ya kumkazia pia?
3. Hatuoni ya kwamba ile hali ya maharusi kuanza kwa pamoja wanajichanga kidogokidogo wanafanikisha kitanda kabati tv mpaka wanakuwa wakubwa hujenga bond nzuri katika mahusiano?
4. Hatuoni ya kwamba kumpatia kila kitu ni sawa na kumuambia kaa ukiwa tayari kusepa kwenda kupanga?
5. Kwa wanaume ambao mmeoa mkakuta kila kitu uanaume wenu unakaa wapi? au mnajisikia hali gani?
karibuni wadau
sheeee... kajinsia kake kamejificha bhana ila haijambadilisha kitu so far najua atakua anampenda mama yake, ila tukirudi kwenye maada ni kwamba huo ni utamaduni tuliourithi kwa wazee wetu, hata mama zetu walifanyiwa kuondoa utamaduni huo kunahitaji kubadili katiba ya ndoa na sheria mama zake bila kuathiri masharti mengine kwenye ibara ya kitchen partySawa mkuu ila hilo swali ulilomuuliza mwenzio daaah...mwanaume huyo eti
Ni kweli kabisa mkuusheeee... kajinsia kake kamejificha bhana ila haijambadilisha kitu so far najua atakua anampenda mama yake, ila tukirudi kwenye maada ni kwamba huo ni utamaduni tuliourithi kwa wazee wetu, hata mama zetu walifanyiwa kuondoa utamaduni huo kunahitaji kubadili katiba ya ndoa na sheria mama zake bila kuathiri masharti mengine kwenye ibara ya kitchen party
We ni boya .Habari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo, mashuka hadi nguo za ndani night dress etc
2. Sasa kazi ya bwana harusi ni nini? yaani unampa binti yako na sehemu ya kumkazia pia?
3. Hatuoni ya kwamba ile hali ya maharusi kuanza kwa pamoja wanajichanga kidogokidogo wanafanikisha kitanda kabati tv mpaka wanakuwa wakubwa hujenga bond nzuri katika mahusiano?
4. Hatuoni ya kwamba kumpatia kila kitu ni sawa na kumuambia kaa ukiwa tayari kusepa kwenda kupanga?
5. Kwa wanaume ambao mmeoa mkakuta kila kitu uanaume wenu unakaa wapi? au mnajisikia hali gani?
karibuni wadau
Kwanza haya mambo ya kuoa na kuolewa yamekumbatiwa sana na watu ambao level yao ya intellect iko chini.Habari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo, mashuka hadi nguo za ndani night dress etc
2. Sasa kazi ya bwana harusi ni nini? yaani unampa binti yako na sehemu ya kumkazia pia?
3. Hatuoni ya kwamba ile hali ya maharusi kuanza kwa pamoja wanajichanga kidogokidogo wanafanikisha kitanda kabati tv mpaka wanakuwa wakubwa hujenga bond nzuri katika mahusiano?
4. Hatuoni ya kwamba kumpatia kila kitu ni sawa na kumuambia kaa ukiwa tayari kusepa kwenda kupanga?
5. Kwa wanaume ambao mmeoa mkakuta kila kitu uanaume wenu unakaa wapi? au mnajisikia hali gani?
karibuni wadau
[emoji16][emoji16]anakuja na kitanda chake kusikilizia mpini mkiachana anarudi nayo shockup zote zimelegeaHabari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo, mashuka hadi nguo za ndani night dress etc
2. Sasa kazi ya bwana harusi ni nini? yaani unampa binti yako na sehemu ya kumkazia pia?
3. Hatuoni ya kwamba ile hali ya maharusi kuanza kwa pamoja wanajichanga kidogokidogo wanafanikisha kitanda kabati tv mpaka wanakuwa wakubwa hujenga bond nzuri katika mahusiano?
4. Hatuoni ya kwamba kumpatia kila kitu ni sawa na kumuambia kaa ukiwa tayari kusepa kwenda kupanga?
5. Kwa wanaume ambao mmeoa mkakuta kila kitu uanaume wenu unakaa wapi? au mnajisikia hali gani?
karibuni wadau
Bi dora Kwa muktadha huo huoni kwamba wengine wanaweza kutumia mwanya huo kuoa kwa lengo la kujipatia vyombo vya kuanzia maisha? Imagine mimi naishi huku Nyampulukano kisha namuoa bhooke kutoka majita huko kasoma Mara na anapewa mavitu vitu yote hayo kisha namuacha namuoa Nyanzige huoni kwamba huko ni kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu?Mtazamo wangu: kununuliwa zawadi sio vibaya, bali bi harusi atizame huko kwa mume mtarajiwa kitu gani labda kinakosekana then atoe ideas anunuliwe nini. Mfano jiikoni kuna machines mf. Pressure cooker, microwave, fridge, dinner set sio lazima anunuliwe kila kitu kama tayari vipo au vingine wanatumia pamoja. Inapendeza kushirikishana mume na mke kuxhagua pamoja vitu vya nyumba yao.
we kama sio muislam wewe sijui.....Habari zenu wanandugu!!!
Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza..
1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo, mashuka hadi nguo za ndani night dress etc
2. Sasa kazi ya bwana harusi ni nini? yaani unampa binti yako na sehemu ya kumkazia pia?
3. Hatuoni ya kwamba ile hali ya maharusi kuanza kwa pamoja wanajichanga kidogokidogo wanafanikisha kitanda kabati tv mpaka wanakuwa wakubwa hujenga bond nzuri katika mahusiano?
4. Hatuoni ya kwamba kumpatia kila kitu ni sawa na kumuambia kaa ukiwa tayari kusepa kwenda kupanga?
5. Kwa wanaume ambao mmeoa mkakuta kila kitu uanaume wenu unakaa wapi? au mnajisikia hali gani?
karibuni wadau
🤣🤣🤣! Shenji!Kumtunza sio kumpa laki,kumtunza ni kununua maharagwe,sukari na unga na kuviweka ndani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Daah
Mnatusumbua michango ya send-off kibao. Kama hauna kwanini unajilazimisha? a mumewe atafanya.Acha apewe tu hakuna tatizo lolote
wengi wao tunaona wanavyohangaika kulazimisha michango...Kama wanauwezo wa kufanya hivyo hakuna tatizo hiyo ni zawadi kwa bint yao.
Kwenye suala la vyombo wazazi wa bint wanawajibika kufanya ivyo ni lazima kumnunulia bint yao vyombo vya kupikia na mashuka
Jf kunahitaji tahadhari sana, ni mwendo wakuviziana ukijichanganya tu imekula kwako. Baadhi yetu si wastaarabu kabisa!!Daah