Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

Hata gari, nyumba pesa apewe dogo kuolewa ni heshima anatakiwa anayemuoa akiona vitu alivyokuja navyo Mwanamke anamheshimu na kumpenda zaidi.
 
Sawa mkuu ila hilo swali ulilomuuliza mwenzio daaah...mwanaume huyo eti
sheeee... kajinsia kake kamejificha bhana ila haijambadilisha kitu so far najua atakua anampenda mama yake, ila tukirudi kwenye maada ni kwamba huo ni utamaduni tuliourithi kwa wazee wetu, hata mama zetu walifanyiwa kuondoa utamaduni huo kunahitaji kubadili katiba ya ndoa na sheria mama zake bila kuathiri masharti mengine kwenye ibara ya kitchen party
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Mtazamo wangu: kununuliwa zawadi sio vibaya, bali bi harusi atizame huko kwa mume mtarajiwa kitu gani labda kinakosekana then atoe ideas anunuliwe nini. Mfano jiikoni kuna machines mf. Pressure cooker, microwave, fridge, dinner set sio lazima anunuliwe kila kitu kama tayari vipo au vingine wanatumia pamoja. Inapendeza kushirikishana mume na mke kuxhagua pamoja vitu vya nyumba yao.
 
We ni
We ni boya .
 
Kwanza haya mambo ya kuoa na kuolewa yamekumbatiwa sana na watu ambao level yao ya intellect iko chini.
 
[emoji16][emoji16]anakuja na kitanda chake kusikilizia mpini mkiachana anarudi nayo shockup zote zimelegea
 
Bi dora Kwa muktadha huo huoni kwamba wengine wanaweza kutumia mwanya huo kuoa kwa lengo la kujipatia vyombo vya kuanzia maisha? Imagine mimi naishi huku Nyampulukano kisha namuoa bhooke kutoka majita huko kasoma Mara na anapewa mavitu vitu yote hayo kisha namuacha namuoa Nyanzige huoni kwamba huko ni kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu?
 
Kitwanga Hoyee
Wanawake Weupe Hoyee
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
we kama sio muislam wewe sijui.....
 
Kama wanauwezo wa kufanya hivyo hakuna tatizo hiyo ni zawadi kwa bint yao.
Kwenye suala la vyombo wazazi wa bint wanawajibika kufanya ivyo ni lazima kumnunulia bint yao vyombo vya kupikia na mashuka
wengi wao tunaona wanavyohangaika kulazimisha michango...
 
Kazi kweli kweli...wabongo tunapenda sana ku-complicate mambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…