Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

Mawazo yako niyakimasikini alafu unasahau kua mapenzi au maisha kwa ujumla hayana kanuni.Hizo ni zawadi tu nakila mtu anafanya kwa uwezo wake sasa hiyo haipunguzi lolote kwenye maisha yandoa endapo wanandoa husika wanajielewa.Kama hawajielewi ata wasipopewa kila kitu kama nikuzinguana watazinguana tu.
 
Sikumaanisha akae chini na mumewe mtarajiwa wadiscuss, bali a note vitu ambavyo hapo kwa mume havipo na wakati ananunuliwa zawadi apendekeze hivo vitu. Hii itaepuka kuwa na vitu double na pengine ununuliwe vitu ambavyo kiukweli hauvihitaji mwishowe unaviacha tu kwenu sababu hamna nafasi etc.
 
Utakuwa huna mahesabu, hiyo pesa utakayotumia kwenye mahari, maandalizi ya harusi si bora ununue vyombo?
 
Ivi mwanaume anajisikiaje anafunga ndoa anahamia Kwa mwanamke halafu anakuta kila kitu kipo ndani yy anafanya kuhamia na tunguo tudogo tudogo kwenye rambo hata begi hana
Wanaume mnakwama wapi
 
Unaonekana wewe ni ndugu mwenye roho mbaya na mwenye gubu huko kwenye hiyo familia
 
Mimi najivunia baba angu mzazi. Mzee nilipomwambia naona tata, akaniambia kijana usiwe nq wasi. Tafuta mke, kisha niambie. Siku wanaenda kuelewana mahari ndio hiyohiyo siku zikaenda ng'ombe 11 kwao binti
 
Tatizo lako mleta mada ni "Wivu"
Wewe hukufanyiwa hivyo thus why
unapinga.
Hizo ni zawadi,na si msaada.
Hivyo watu wakitoa in vyema
kuzipokea,tena kwa furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…