Uchaguzi 2020 Hivi hii Serikali inayodai inawatetea wanyonge, inawezaje kutapanya pesa kwa kusambaza mabango na "kuprint" T/shirt za kusambaza nchi nzima?

Uchaguzi 2020 Hivi hii Serikali inayodai inawatetea wanyonge, inawezaje kutapanya pesa kwa kusambaza mabango na "kuprint" T/shirt za kusambaza nchi nzima?

Sio kila utetezi unahitaji pesa
Mashekh waliopo jela kama wakifikishwa mahakamani waweze kujutetea Hilo jambo halihitaji Bill 460 kama ile iliotumika kujenga kiwanja cha kimataifa kule Chato
 
Pilipili usioila yakuwashani,wakivaa hata magunia ni uwamuzi wao,mind your own business.
 
CCM chama dume kamanda. Unadhani ni kama chama cha Mbowe ambacho mwenye chama hula mpaka ukoko?. CCM chama kina miradi yake, ruzuku zake hupangiliwa vizuri na viongozi wenye weledi ndio unaona matokeo hayo. Pesa za Serikali wewe unazoona zatapanywa zimeenda kwenye flyover, ndege, maji, hospital ambapo wewe na ukoo wako mwapata huduma zenu kwa uthabiti. Mbowe angezila zote, ruzuku, michango ya wabunge hata kodi angetafuna zote na genge lake. Fungukeni akili, chama Cha Mbowe ni sumu kwa taifa hili.
 
Sisi matajiri, ulimuona jana Rais wako kipenzi alivyowavimbia wakandarasi. Mgombea wenu ataweza??, kwa jinsi anavyoteyemekea nywele nyepesi. Tanzania tajiri sana na ndiyo maana haitakaa itokee eti CHADEMA wapewe nchi.Nyoooooooooooo
 
Sisi matajiri, ulimuona jana Rais wako kipenzi alivyowavimbia wakandarasi. Mgombea wenu ataweza??, kwa jinsi anavyoteyemekea nywele nyepesi. Tanzania tajiri sana na ndiyo maana haitakaa itokee eti chadema wapewe nchi.Nyoooooooooooo
Matajiri Ninyi mliopo kwenye system. Sio sisi ambao
Tumebomolewa nyumba bila fidia
Tumekopwa korosho bei chini mpaka Leo hatujalipwa
Tumekopwa pamba bado hatujalipwa
Tumepatwa na tetemeko la ardhi halafu wahisani wa ndani na nje ya nchi yetu wakatuchangia hela zikaenda kwenu
Tunanyimwa maiti za ndugu zatu mpaka tulipe mamilioni ambazo Ninyi mnazo sisi hatuna
Anyways anyone who supports CCM must be benefitting direct from government
Or just ignorant
 
Back
Top Bottom