CCM chama dume kamanda. Unadhani ni kama chama cha Mbowe ambacho mwenye chama hula mpaka ukoko?. CCM chama kina miradi yake, ruzuku zake hupangiliwa vizuri na viongozi wenye weledi ndio unaona matokeo hayo. Pesa za Serikali wewe unazoona zatapanywa zimeenda kwenye flyover, ndege, maji, hospital ambapo wewe na ukoo wako mwapata huduma zenu kwa uthabiti. Mbowe angezila zote, ruzuku, michango ya wabunge hata kodi angetafuna zote na genge lake. Fungukeni akili, chama Cha Mbowe ni sumu kwa taifa hili.