Hivi hii ya wanawake wazuri kuwa single kwa sababu ya uzuri na kwa wanaume ipo?

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558
Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on expectations alizo jiwekea yeye.

Ongezeko la wanawake walio single, linazidi kuongezeka. Let alone wao jamii inawafavor hata wakijitangaza fresh. The same applies kwa wanaume tena wako wengi, ukijitangaza unaonekana huna swaga na vitu vya namna hio, unakuta unapewa go ahead kabisa na mwanamke but ukimtokea tu, ni kama wanasense utakua na mtu, or analinda heartbreak in advance. So unajikuta unatongozwa na wake za watu.

Hii kitu imechangizwa na kutokuwa na trust, na unrealistic expectations jamii iliyo jiwekea. Badala ya kupata muda na wasaa wa kujuana na kuona kama mnaendana mtu anakuwa na imagination zake kichwani ambazo mara nyingi ni fears tu kutokana na vitu ulivyo ona mitandaoni au kwenye filamu.

Ndo maana ndoa hazidumu, watu wabadilike. Sometimes malezi pia, watu hawana confidence.
Nawasilisha, ijumah kareem.
 
Hakuna kitu kingine cha kuwaza?
 
Mapenzi ni kufuata mkumbo kama kuzaa vile ,Kuna mtu anaona hana sababu ya kuwa kwenye mahusiano Wala kuzaa mtoto ila jamii Inamlazimisha.
Ila chanzo ni kichwa cha chini maana kikitaka chakula chake cha ubongo ndipo tunajikuta tunaingia kwenye mapenzi ili kukidhi mahitaji yake
 
Watu wa namna hii wapo, ila unakuta walisha pitia kitu flani kikawaziba wao kupenda na kupendwa.
 
Ila chanzo ni kichwa cha chini maana kikitaka chakula chake cha ubongo ndipo tunajikuta tunaingia kwenye mapenzi ili kukidhi mahitaji yake
Kwa hiyo mkuu unataka kusema ni bora tuwe kama wanyama? Kuliko kufuata morality?
 
Mapenzi sio lazma ulazma ni afya njema na pesa hayo mapenz hayana umuhimu wowote kwenye maisha yetu ni mambo tunayojitakia wenyewe
 
Back
Top Bottom