Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa.

Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.

1684306755823.png
 
Daah we jamaa SI mfuatiliaji kabisa, hapo naona vyuma vinne kutoka Tz na Simba hua naona vyuma vinne pia, kibaya KIPI hapo.
 
Hujui chochote kuhusiana na mpira,

Kuna mwaka Timu ya Arsenal iliwahi kuanzisha first eleven bila mchezaji muingereza hata mmoja, pia hata Substitution walikuwa wageni watupu
Unalinganisha uingereza na bango hauko serious wewe. Huko timu Taifa wanagombania Namba
 
Kila timu imeruhusiwa kusajili idadi sawa ya wachezaji wa kigeni, kwa hiyo kuhoji kikosi cha yanga kinasaidia vp Tanzania sio sawa
 
Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa.

Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.

View attachment 2617127
Yaan wewe ni ndezi Sana. Nani kakwambia yanga inaandaa wachezaji wake Kwa ajili ya taifa star.

Yaan yanga itumie Hela kununua wachezaji wake Kwa ajili ya taifa star. Huo utapeli nani anaufanya. Mbona nyie Simba wachezaji wengi ni WA kigen.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom