Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa.

Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.

View attachment 2617127
Mimi kama Mtanzania nasema hivi "tuanzie mechi ya jana (Yanga vs Marumo Gallants)" Wazawa waliocheza ni hawa wafuatao; Kibwana Shomari, Dickson Nikcson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Nondo, Salum Abubakar, Mudahir Yahaya na Clement Mzize,Jumla yao ni 7. Je, mpaka hapo bado una hoja? Huenda ukawa una wenge fulani Ndugu, pole sana!
 
Asante Kwa kumnyoosha huyo Tomasso

Aahhaaa
 
Back
Top Bottom