Mimi kama Mtanzania nasema hivi "tuanzie mechi ya jana (Yanga vs Marumo Gallants)" Wazawa waliocheza ni hawa wafuatao; Kibwana Shomari, Dickson Nikcson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Nondo, Salum Abubakar, Mudahir Yahaya na Clement Mzize,Jumla yao ni 7. Je, mpaka hapo bado una hoja? Huenda ukawa una wenge fulani Ndugu, pole sana!