GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Nikisoma Twitter na humu JF naishia kupata ganzi na kuona umuhimu ya kuliombea Taifa la Tanzania badala ya Taifa la Israel. Chuki baina yetu inaweza kufika mwezini.
Kwani kafa tayari?
Kwanini umewaza mawazo magumu kwani kuna nini nchini
Ukimfolo utakuwa umefanya maamuzi sahihi kabisa ya kujikomboa kutoka upopoma na GiniasiHivi huyu Jamaa gentamycine ni nani Ndugu? Kwanini haipiti hata Siku ni lazima tu ID yake ama itatajwa au hata Kuhusishwa na zingine? Mnavyozidi Kumtajataja mmenifanya nami nianze Kumfuatilia na nimegundua ana Vitu vingi ambavyo hata Mimi vimenishawishi nianze Kumuiga. Tena ngoja nami ' nimfolo ' kabisa ili kila atakachokuwa anakiandika au kukichangia hapa Mimi An Eagle niwe nakipata.
Hahahahahahahahahahaha..Mtafute Genius wa hili jamvi anaitwa GENTAMYCINE atakueleza kila kitu.
Mapopoma kama mimi na wewe hayo mambo ni makubwa mno, yanaweza kutuchanganya na tusijitambue kabisa kwani uwezo wetu ni mdogo sana wa kupambanua mambo
Comment yangu sio kwa post yako tu mkuu. Nimeongelea hali na niliyoyasoma kuanzia Jana jioni. Wewe sio wa kwanza kuleta, alikutangulia EX-SPY.Kumbe Kuulizia Masuala ya Kikatiba na Kisheria kwa Mzalendo kama Mimi An Eagle ili niweze Kuelimishwa vyema na Wanaojua zaidi yangu hapa Jamvini ni Ishara ya Chuki? Mpigie Simu Mwenyezi Mungu mwambie abadilishe hiyo IQ yako kwani amekosea Kukuwekea kwani hujui kuitumia vyema kama alizotubariki nazo Sisi wengine.
Mheshimiwa mleta mada An Eagle, hebu ondoa au punguza kidogo mafumbo maana wengine bado hatujaelewa,kule kanda fulani mheshiwa Malikia alitakiwa kuwa kwenye ziara lakini haonekani,mara kuna kwenye mitandao fulani kwenda kanda zinasema kaelekea Ujerumani, mara yupo mafichoni mara CDF na IGP wapo mipakani kulinda usalama na hongera kwa watu fulani.Sasa kulikoni mpaka mida hatujajua kabisa yupo wapi na ile media ya kisiwa nayo jana nzima hawajamwonyesha kabisa na mpaka mida hii inaelekea sita mchana bado hawajaonyesha chochote kuhusu malikia
Umemkomesha mkuu, multiple id hizoMtafute Genius wa hili jamvi anaitwa GENTAMYCINE atakueleza kila kitu.
Mapopoma kama mimi na wewe hayo mambo ni makubwa mno, yanaweza kutuchanganya na tusijitambue kabisa kwani uwezo wetu ni mdogo sana wa kupambanua mambo
huenda ww pia una matatzo ya akili ndo mana huwaon wenye matatzo ya akiliTanzania
Hatuna Viongozi Wagonjwa, Wala Wenye Matatizo Ya Akili
vinaitwa UHAINIWADHAMBIDhambi na uhaini kwa pamoja huitwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahahahahaha..
Mkuu SALUTE Sana.