GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Nikisoma Twitter na humu JF naishia kupata ganzi na kuona umuhimu ya kuliombea Taifa la Tanzania badala ya Taifa la Israel. Chuki baina yetu inaweza kufika mwezini.
Kumbe Kuulizia Masuala ya Kikatiba na Kisheria kwa Mzalendo kama Mimi An Eagle ili niweze Kuelimishwa vyema na Wanaojua zaidi yangu hapa Jamvini ni Ishara ya Chuki? Mpigie Simu Mwenyezi Mungu mwambie abadilishe hiyo IQ yako kwani amekosea Kukuwekea kwani hujui kuitumia vyema kama alizotubariki nazo Sisi wengine.