Hivi hiki 'Kipengele' cha Katiba ya Tanzania bado kipo vilevile au kilifanyiwa 'Marekebisho' ya Kisheria?

Nikisoma Twitter na humu JF naishia kupata ganzi na kuona umuhimu ya kuliombea Taifa la Tanzania badala ya Taifa la Israel. Chuki baina yetu inaweza kufika mwezini.

Kumbe Kuulizia Masuala ya Kikatiba na Kisheria kwa Mzalendo kama Mimi An Eagle ili niweze Kuelimishwa vyema na Wanaojua zaidi yangu hapa Jamvini ni Ishara ya Chuki? Mpigie Simu Mwenyezi Mungu mwambie abadilishe hiyo IQ yako kwani amekosea Kukuwekea kwani hujui kuitumia vyema kama alizotubariki nazo Sisi wengine.
 
Sijui kama unajia itifaki za kukasimu madaraka zilivyo

Na hii ni kote duniani

Hi system unayoshauri iwe inafaa Sana katika Bunge lenu la vikao vya soga na kahawa Pale mpiga soga mkuu akisepa ni nani anayfuatia kwa kusogoa
 
Hivi huyu Jamaa gentamycine ni nani Ndugu? Kwanini haipiti hata Siku ni lazima tu ID yake ama itatajwa au hata Kuhusishwa na zingine? Mnavyozidi Kumtajataja mmenifanya nami nianze Kumfuatilia na nimegundua ana Vitu vingi ambavyo hata Mimi vimenishawishi nianze Kumuiga. Tena ngoja nami ' nimfolo ' kabisa ili kila atakachokuwa anakiandika au kukichangia hapa Mimi An Eagle niwe nakipata.
Ukimfolo utakuwa umefanya maamuzi sahihi kabisa ya kujikomboa kutoka upopoma na Giniasi
 
Mheshimiwa mleta mada An Eagle, hebu ondoa au punguza kidogo mafumbo maana wengine bado hatujaelewa,kule kanda fulani mheshiwa Malikia alitakiwa kuwa kwenye ziara lakini haonekani,mara kuna kwenye mitandao fulani kwenda kanda zinasema kaelekea Ujerumani, mara yupo mafichoni mara CDF na IGP wapo mipakani kulinda usalama na hongera kwa watu fulani.Sasa kulikoni mpaka mida hatujajua kabisa yupo wapi na ile media ya kisiwa nayo jana nzima hawajamwonyesha kabisa na mpaka mida hii inaelekea sita mchana bado hawajaonyesha chochote kuhusu malikia
 
Kumbe Kuulizia Masuala ya Kikatiba na Kisheria kwa Mzalendo kama Mimi An Eagle ili niweze Kuelimishwa vyema na Wanaojua zaidi yangu hapa Jamvini ni Ishara ya Chuki? Mpigie Simu Mwenyezi Mungu mwambie abadilishe hiyo IQ yako kwani amekosea Kukuwekea kwani hujui kuitumia vyema kama alizotubariki nazo Sisi wengine.
Comment yangu sio kwa post yako tu mkuu. Nimeongelea hali na niliyoyasoma kuanzia Jana jioni. Wewe sio wa kwanza kuleta, alikutangulia EX-SPY.
 
Mheshimiwa mleta mada An Eagle, hebu ondoa au punguza kidogo mafumbo maana wengine bado hatujaelewa,kule kanda fulani mheshiwa Malikia alitakiwa kuwa kwenye ziara lakini haonekani,mara kuna kwenye mitandao fulani kwenda kanda zinasema kaelekea Ujerumani, mara yupo mafichoni mara CDF na IGP wapo mipakani kulinda usalama na hongera kwa watu fulani.Sasa kulikoni mpaka mida hatujajua kabisa yupo wapi na ile media ya kisiwa nayo jana nzima hawajamwonyesha kabisa na mpaka mida hii inaelekea sita mchana bado hawajaonyesha chochote kuhusu malikia

Umeambiwa kuwa Mimi ni ' Bodyguard ' wake Ndugu? Hebu acha kunitafutia matatizo na Watu tafadhali sawa? Sitaki kabisa!
 
Back
Top Bottom