Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Huo ndo ukwel, tunaabudu kingereza, Ndalichako ni professional wa hisabati, sasa hapa kuna mtu anakomalia ndalichako ajue kingereza. Tuache utumwa
 
Uprofesa wa bongo ni kukaa chuoni miaka mingi kuzidi wengine...sio uelewa au kujua mambo....kwahiyo undergraduate ulie field uko vizuri kuliko hao wakaa chuoni....ndio maana field maprof wanachemka
Kwa hiyo mkuu asiyejua kingereza maanayake yeye ni kilaza? Kwa hiyo ukijua kuongea na kuandika kingereza tu unakuwa mwerevu kuliko wote
 
Reactions: UCD
Uprofesa wa bongo ni kukaa chuoni miaka mingi kuzidi wengine...sio uelewa au kujua mambo....kwahiyo undergraduate ulie field uko vizuri kuliko hao wakaa chuoni....ndio maana field maprof wanachemka
Kwani uelewa unapimwa kwa kujua kiingereza? Inaonekana wewe hujaelimika bado sana!
 
Ok mkuu hebu tulitizame hili jambo kwa upande wa pili,hivi kama angekuwa haelewi lugha anayofundishiwa ingewezekana vp kufika hadi hapo alipofika kielimu?
 
Ahaaaa haaaaaa haaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa huu si utetezi wa alichokifanya, bali nawaza tu. Kwani PHD yake inahusiana na mambo ya lugha? Tunampimaje kuunganisha PHD na ufasaha wa lugha ya kigeni?

By the way, kumasta lugha fulani lazima uweke bidii fulani na pia uwe unazungumza. Otherwise utakua na ze, ze nyingi na viunganishi visivyo eleweka.
 
Ok mkuu hebu tulitizame hili jambo kwa upande wa pili,hivi kama angekuwa haelewi lugha anayofundishiwa ingewezekana vp kufika hadi hapo alipofika kielimu?

Hapo ndio mashaka yanapoanzia mkuu.
 
Ukiwa unasoma science ndio ruksa kuongea lugha vibaya? Hzo research alikuwa anaandaaje report? Nakukumbusha tu maprof ma PhD Wachina, Warusi nk wanaongea lugha zao why asiongee kiswahili #ukishaingia kile chama akili unakabidhi kwa M/kiti refer Prof wa Jalalani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kwa kiwango cha elimu alichonacho, chukulia ndio ameenda kuiwakilisha nchi kwa mabeberu huko halafu aongee hvyo na huku kajitambulisha ni Prof

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee what can I say on this?We pay milioni mia moja shillings??Jamani.Lakini wanasema cha kuongea na kuandika Ni Tofauti.Ile najuw Atatuprove Wrong atakuja na Kiingereza kingine alichosome Canada with first class.
Tena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…