Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Mimi sina ujinga huo wakujisifia kujua kiingereza of course mimi nimeishi ulaya muda mrefu sana tu na hiyo lugha naijua lakini siwezi kusema kwamba kiingereza ndiyo kigezo cha kuwa na elimu au kuelimika bali ni lugha kama kimakonde tu ila wewe umeaminishwa kuwa ukijua kiingereza basi umeelimika which is not the case! Mimi hata kiswahili kinanipa shida kujieleza mbele ya kadamnasi mkuu.
 
Sisi pia tumekulia hapa na hatuoni kama superior language .ila mtu akichukua phd ya elimu yoyote kwa kimakonde hatutarajii awe anaongea kimakonde cha hovyo walau kwa kiwango flani ,sasa prof amesomea english kama media from form four hadi phd anasema '''.....your going to stay on the cell until you provide serious explanation...''
 
These are the ones we expect them to sail us through "the industrialization process" by 2025! How many degrees does she have?, hope she equals the mwakiembe lot!
 
Waziri wangu mpendwa naona either kaamua kuongea kiswahili chenyewe ila kwa kiingereza au kaamua tu kutamka maneno ya kiingereza.
 
Ni ngumu kuelewa hasa ukikaa upande hasi, lengo kubwa la lugha ni mawasiliano. Na ametimiza ilo
 
Yah she is free kuongea kiswahili lakini ujumbe ulikuwa unaenda kwa nani
 
Ndio alikuwa katibu mkuu wa wizara ya elimu kwl ??!
 
Shida ipo pakubwa sana! Hata hapa mtu anasubiri aambiwe aachie ngazi kwa manufaa ya umma?
 
Very interesting, hivi kama nataka kuanzisha biashara je inawezekana nyinyi "factual scientists" mkachambua na kunipa projection kama biashara yangu italipa??.

Nauliza hivyo ili siku fulani nikutafute.
Mokaze sisi sio factual scientist, sisi ni Actuaries. Usirudie kuchanganya tena.

Ndio tunaweza kukufanyia kazi yako. Tumesoma finance, business, Economics na hata Accounting.
 
Si Lugha yetu Jamani.
 
Angeongea Kiswahili basi.
Wawe wanatembea na wakalimani inapobidi..
 
Mokanze sisi sio factual scientist, sisi ni Actuaries. Usirudie kuchanganya tena.

Ndio tunaweza kukufanyia kazi yako. Tumesoma finance, business, Economics na hata Accounting.


Samahani, nilichanganya kati ya "in facts" na "actually"---- na mimi naitwa Mokaze sio Mokanze.

By the way, nitakutafuta muda ukiwadia ili unipe ushauri wa kibiashara.
 
Wanamuonea kwakweli.


Hizo hesabu alijifunza kwa kiswahili au alipokuwa anafundisha alifundisha hesabu primary school??, hiyo siyo hoja, hoja ni hii kwamba kujua lugha ni kipaji naye hana kipaji cha lugha ya kiingereza, ndivyo mungu kamuumba hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…