Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hahaahaha eti na wewe ulitaka kuliona tatizo ?????!!!. Sasa wewe na yeye mnatofauti? Ok kwakukusaidia wadau hawazungumzii lafudhi hapo.
kwamba mlitaka aongee kama anakunywa maji, sema lafudhi zetu za makabila zinafanya kiingereza kutoteleza kwenye ulimi. sijaona shida sana hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu si ndiye alisema anataka kuwatahini upya watumishi wa Elimu kwakuwa viwango vyao vya elimu vinampa mashaka.
 
Mkuu wapi umewahi ona Mzungu anasoma mpaka PhD kwa kiswahili na hakijui kiswahili? Kumbuka hao vilaza walisoma kwa kiingereza hizo PhD zao. Toka nje ya box siyo unabwabwaja tu kama mwana fisiemu.
Kuna ajabu gani hapo sasa? Wabongo kwakujishongondoa tu hatujambo, utasikia mtu anamsifia mzungu anaeboronga kiswahili huku akimcheka mbongo mwenzie abaeboronga kiingereza, amaa kweli utumwa bado tunao

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwendaaaa
Sayansi hatusomi vilaza kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umempa za uso, nchi hii tunasoma kwa kiingereza hivyo kama msomi lazima ujue kiingereza. Kuna wapuuzi wanauliza eti mzungu akikosea kiswahili mbona hatumcheki, swali kwani wazungu wanasoma kwa kiswahili mpaka nao wakijue kiswahili !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujanja janja, PhD kwa kiingereza alafu kikushinde na bado ujione uko sawa? Nina wasiwasi na ubongo wako. Ukitetea ujinga jua na wewe una ujinga kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu si ndiye alisema anataka kuwatahini upya watumishi wa Elimu kwakuwa viwango vyao vya elimu vinampa mashaka.
Huyu mama ni mpuuzi sana. Alikuwa anajishongondoa mno na kujiona yeye ndio mwanataaluma bora kuliko yeyote nchini.

Mikogo kibao kumbe ziro mbumbumbu tupu.

Alishawahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu. Sijui alikuwa anafundisha namna gani kwa lugha ile ya kipumbafu!

Alishawahi kuwa msimamizi wa baraza la mitihani la Taifa. Sijui alikuwa anasimamia kitu gani kwa lugha ile!

Amejiaibisha sana! Ujuaji mwiiingiiiiii kumbe debe tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi ni kiingereza au kingreza

Shule zakata tuna matataizo 😂😂

 
Hahaahaha eti na wewe ulitaka kuliona tatizo ?????!!!. Sasa wewe na yeye mnatofauti? Ok kwakukusaidia wadau hawazungumzii lafudhi hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umeongea kama vile wanifahamu, fanya kuweka wazi mimi ni nani na elimu yangu iko vp? sina uhakika ila naamini naweza kukuzidi vingi labda unizidi tambo za mtandaoni
 
Mimi ndiyo maana kale kazee sijawahi kukapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…