Mkuu wapi umewahi ona Mzungu anasoma mpaka PhD kwa kiswahili na hakijui kiswahili? Kumbuka hao vilaza walisoma kwa kiingereza hizo PhD zao. Toka nje ya box siyo unabwabwaja tu kama mwana fisiemu.
Kuna ajabu gani hapo sasa? Wabongo kwakujishongondoa tu hatujambo, utasikia mtu anamsifia mzungu anaeboronga kiswahili huku akimcheka mbongo mwenzie abaeboronga kiingereza, amaa kweli utumwa bado tunao
Mnao mshangaaa huyu mama wengi ni HKL HGL KLF na art nyingine kwa wale wanangu wa PCM PGM PCB mtu kutokuflow english sio shida kabisa na ndo tabia ya watu wanaojua mambo hata angeongea kiswahili bado angehangaika tu ila inapokuja swala na fani yake mbona mtaonyeshwa makali tu sayansi oyee
Umempa za uso, nchi hii tunasoma kwa kiingereza hivyo kama msomi lazima ujue kiingereza. Kuna wapuuzi wanauliza eti mzungu akikosea kiswahili mbona hatumcheki, swali kwani wazungu wanasoma kwa kiswahili mpaka nao wakijue kiswahili !!!
Labda umestaarabika kwenye ujinga... Waziri wa elimu anapaswa kuonesha mfano na kujipambanua anapoongea,akialikwa kutoa mhadhara kimataifa ndio ataongea hivyo? Watu watamzingatia? Nchi hii elimu ni kwa kiingereza iwapo umesoma unapaswa kukijua vyema kuandika na kukiongea ustuletee janjajanja
Acha ujanja janja, PhD kwa kiingereza alafu kikushinde na bado ujione uko sawa? Nina wasiwasi na ubongo wako. Ukitetea ujinga jua na wewe una ujinga kichwani
I doubt na argue na mtu ambaye mkondo wake wa kufikiri haupo sawasawa, kuwa waziri wa elimu na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kutimiza majukumu yake kama waziri na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kama ni kikao popote pale anaweza akazungumza hata kiswahili.
Uenda alitaka kuwatahini kwa kiswahili, sio kwa kiingereza lakini ni aibu kubwa waziri wa elimu hata simple sentence unashindwa duh hi nchi kuna uchawi
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...
mkuu umeongea kama vile wanifahamu, fanya kuweka wazi mimi ni nani na elimu yangu iko vp? sina uhakika ila naamini naweza kukuzidi vingi labda unizidi tambo za mtandaoni
Kujifunza lugha kwa urahisi ni kwanza kuizungumza hiyo lugha, sisi Watz, nyerere alituharibu, yeye alikuwa anajua kiingereza na hakutaka watz wengi tujue kiingereza kwa sababu Kiingereza kilibeba elimu nyingi hivyo tungeerevuka, kwani kumtawala mjinga ni rahisi kuliko mwerevu lakini kumuongoza mwerevu ni rahisi kuliko mjinga, alijua hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.