Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

🤣🤣kumkosoa profesa????una nini na kingerezae chako???
 
Zamani UDSM kulikua kuna kitu kinaitwa 'marks za chupi' yaani lekchara akishaona chupi ya mtu husika anatoa marks za juu bila kusoma utumbo ulioandikwa na mhusika. Walio UDSM huo ujinga bado upo?
 
Never, utamaduni wetu kama msomi ni kiingereza fasihi! Kireno, kijerumani etc nobody will bother
Kwa Linguist kama mimi, sioni tatizo hapo. Ninaona tatizo pale Mbongo anapolazimisha kuongea kama Mwingereza au Mmarekani. Kuongea broken ni sawa tu hasa pale hiyo lugha inapokuwa ni "Third Language" ya muongeaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa kaliamsha tena, kuna moja nimemskia akiwahutubia mabeberu mwenye kuweza aiweke hapa.... itakuwa anajifanyisha huyu.
 
The only, IQ yamtu haipimwi na uwezo wa kujua au kuandika kiingereza.
Wengi badala ya kuangalia nini Mtu anasema au anasungumza .tunakalia Kuangalia makosa ya kiuandishi utafikir sijui tunajifunza fasihi. Especially Kwa lugha ngeni.
Haya ni madhaifu ya Kitanzania.
Nenda kaangalie bunge la kenya watu wanaongea kiswahili kibovu ila muhimu tu ujumbe umefika inatosha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emar,

Kwa uandishi wako huu uko sahihi kutetea madudu kama ulivyofanya hapa, sitegemei uwe na mtazamo tofauti na huo.... kwa heshima nakuunga mkono.
 
Uwe unaelewa ndo unajibu.IQ test zote huwa zinahusisha uwezo katika lugha .hiyo sio point yangu ninachohoji kiingereza kibovu cha form 2 kwenye msomo wa mtu alietumia english kupata PhD na kuandika vitabu na kufundishia chuo kikuu
 
Uwe unaelewa ndo unajibu.IQ test zote huwa zinahusisha uwezo katika lugha .hiyo sio point yangu ninachohoji kiingereza kibovu cha form 2 kwenye msomo wa mtu alietumia english kupata PhD na kuandika vitabu na kufundishia chuo kikuu
Bogus minister of education
 
Like Seriously! Are we here because of UDSM???
 
Huu uandishi unadhihirisha uwezo wako kitaaluma.

Naunga mkono hoja yako[emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ukikasirika sana mambo kama haya lazima yatokee! Broca aphasia lazima tu ikunyemelee, upende usipende! Akiwa ametulia mbona anaongeaga vizuri tu hicho kimombo!?
 
acheni porojo
prof hajui kiingereza , mleta mada hajasema kuwa kujua kiingereza ni akili , ameshangaa prof kutokujua ngeli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…