MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Kwa waTZ wengi hata kama unakijua ukiwa katika panic mood ni rahisi kutokukinyoosha..
Lakini pia sisi huwa tuko makini kukosoa makosa katika kiingereza ila makosa yetu katika kiswahili hatuna habari nayo.
Kiingereza cha darasani katika uandishi nk si sawa na kile wakati wa kukizungumza, darasani unatulia pia unatafuta maneno sahihi ya kutumia, ila wakati wa mazungumzo haiko hivyo kama si lugha uitumiayo kila mara katika mawasiliano misamiati inakuwa michache
Sent using Jamii Forums mobile app