Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Mkuu huko ni kupenda ligi tu ,chukua mantiki ,hakuna asiekosea ila tunahoji extreme ,hata prof wa eng language anakosea ila kuna level ya you stay inside tunaikataa,by the way nimeelewa type yako kuna mtu anaitwa Jofrey amekuwa loser maana hajikiti kujenga bali kushinda vi battle sio wall
Sawa.
 
Aaaaah weee sasa kasoma mathematics na english wap na wapi
Hiyo mathematics alikuwa anafundishwa kwa kichina au? What was the medium of instruction? Since o'level, a'level mpaka apate huo uprofesa tena amesomea Canada. Mtu unafundishwa kwa kiingereza zaidi ya miaka 20 alafu uongee vile ni aibu kwa taifa.
 
Maprofessor karibia wote hawajui kabisa kiinglishi.....umewahi kumsikia namba moja na akionge km intaprinyuwa?!
 
Hiyo PhD aliipata kwa lugha gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulienda kumpa hesabu kwa lugha ya kiingereza akashindwa kuzifanya?
Amepewa kazi inayo husu mambo ya education kwa lugha ya kiingereza akashindwa kutekeleza kazi yake?

Ujuwe kuongea free and live unakuwa hauna muda wa ku-edit makosa, once you spit a word it's gone, can't take it back.
Kuandika thesis au kitabu au notice za kufundishia, au report yoyote ile unakuwa na muda wa kutosha kuandaa na kurekebisha unachotaka kusema kabla hakijafika hadharani kwa walengwa.

Ninyi akili kubwa mlio bobea ktk lugha ya kigeni mnashangaza kwa kutotambua jambo dogo kama hili.
Mara ngapi watu wanakosea kuongea hata kiswahili lugha yao ya kwanza au ya pili?
Kwanini iwe ajabu kukosea lugha ya kiingereza?

Utambue ukweli huu, binadamu anaweza kuwa ana akili sana au ana kipaji fulani kikubwa sana cha jambo mabo flani lakini unakuta hayupo vizuri kwenye kushika na kuongea lugha kwa ufasaha na mtiririko mzuri.
Au anapata shida sana kujifunza lugha mpya hata kwa miaka kadhaa.

Sababu ya alivyo zaliwa au baada ya kupata tatizo sehemu fulani ya ubongo au mfumo wa fahamu.
Kuna sehemu ya ubongo inahusika na msuala ya uwezo mkubwa wakujifunza lugha ambayo hiyo sehemu hatulingani binadamu, unakuta huyo huyo ana ufanisi wa hali ya juu sana wa sehemu nyingine ya ubongo unomwezesha kufanya vizuri mambo mengine.
Soma hapo chini mjadala kuhusu tatizo la kufanya vibaya wakati wa kujifunza lugha ya kigeni.
Kuna tafiti zinaonesha huu ni ulemavu flani unaitwa Foreign Language Learning disability (FLLD)
Msome huyu jamaa
"Joanne December 14th, 2014
I fully believe there is a foreign language disability. I have a high IQ and graduated with honors from high school and college. I was a very motivated student but I simply could not learn a language because I could not retain the vocabulary. I was able to learn it on the short term for tests hence getting by in low level courses in high school (non-college prep Spanish.) I worked harder on Spanish than any other subject. Because I was one of the top students in my class, I was subjectively given higher grades than I actually earned, but while all my SAT scores were around 700 my Spanish SAT was 450 after three years of high school Spanish.

This kept me out of my first choice colleges and I took a major that did not require a language. When encouraged by my professors to get a PhD, I declined because there was a foreign language requirement that I knew I could not pass. I never knew what the problem was until later in life when I heard of FLLD. In my case I think it’s some sort of memory processing issue. It never made any sense because I excelled in English, including vacabulary tests. I was always well above grade level in reading. In all my classes including sciences (my ultimate major) I learned new concepts quickly and easily.

To this day I can not remember names that are foreign no matter how hard I try. They just feel like a jumble of letters that I can’t sort out, and yet English words do not, even if unfamiliar. While not all poor achievement in foreign language is FLLD, I think in some cases (perhaps a small percentage) there is an issue that would qualify as a FLLD."

Soma mjadala wote hapa Is there a 'disability' for learning foreign languages?
 
Acha kutetea ujinga. Alafu toka lini elion musk amepata PhD?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida sipendi kujibu watu kwa matusi au dharau,
kwa kesi yako nilitaka nikujibu kwa mtindo wako wa matusi nikaona nitajishusha hadhi.
Elon Musk hana Masters lakini ana Bachelor degree mbili na PhD.
Fanya tafiti mindandaoni ujiridhishe na sio kuja kubisha kwa kuita watu wazima wajinga.

Kuniita hivyo hakuthibitishi ukweli wa hoja yako, na wala hakupunguzi ukweli wa hoja yangu bali hujenga uadui tu.
 
Kongore huku tz bado michosho hii industry haijulikan sana imaanza udsm 2013 kutoa watu na IFM mwaka huu nasikia mwaka huu wanatoa.........meme nimemaliza 2015 nimesoma pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata kazi? Hii ni ngumu sana lakini upatikanaji wa kazi wake pia ni mgumu hata huku nilipo. Masaa ya kufanya kazi pia ni mengi tofauti na kazi nyingine.

Mimi kwenye kazi nimeswitch nafanya kama "data analyst". Niliona ni mapema sana kuspecialized kwenye my career.
Kwa mwanzo tunapambania maslahi career tunaweka kando. Tukishakuwa na misingi mizuri ndio tunaingia kwenye career.
 
Anyway, kwa wasomi wa sayansi siwashangai kwa kiingereza chao. Wao mengi katika masomo yao ni terminologies na si fluent English labda shida itakuja kwa wenye nafasi kubwa hizo kwenye kupitia mikataba maana pale English yake si ya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata kazi? Hii ni ngumu sana lakini upatikanaji wa kazi wake pia ni mgumu hata huku nilipo. Masaa ya kufanya kazi pia ni mengi tofauti na kazi nyingine.

Mimi kwenye kazi nimeswitch nafanya kama "data analyst". Niliona ni mapema sana kuspecialized kwenye my career.
Kwa mwanzo tunapambania maslahi career tunaweka kando. Tukishakuwa na misingi mizuri ndio tunaingia kwenye career.

So you did actuarial science?
 
Acha kutafuta kichaka cha kujificha, nani kasema tunabishana hapa, ninakuelimisha bro. Lakini mwisho wa siku maamuzi ni yako kama utaelelimika au lah ubaki na ujinga wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu elimu ni nini ? Ni kujua kiingereza?
Narudia wewe bado kajadili na watoto wenzako.
 
Acha ujanja janja, PhD kwa kiingereza alafu kikushinde na bado ujione uko sawa? Nina wasiwasi na ubongo wako. Ukitetea ujinga jua na wewe una ujinga kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanzia hapa bwana mdogo, kama PhD ni kwa kiingereza ina uhusiano gani na kuongea kiingereza fluently ?
Pili kutozungumza Fluent English kuna uhusiano gani na ujinga?
Wakati anafanya PhD alikuwa anafanya ya English?
Na kama si ya English upo reasonable kiasi gani kumkosoa?

Mwisho wa siku staarabika na tazama na fikiria vitu kwa undani.. Get your head Collected bro.

My take: She is reasonable na kutozungumza Fluent English hakufanyi kuwa na doubt ya PhD yake.

Sasa hivi hata wale wa Ras Simba wanagonga ngeli fresh.

Khan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom