Hiyo PhD aliipata kwa lugha gani?
Sent using
Jamii Forums mobile app
Ulienda kumpa hesabu kwa lugha ya kiingereza akashindwa kuzifanya?
Amepewa kazi inayo husu mambo ya education kwa lugha ya kiingereza akashindwa kutekeleza kazi yake?
Ujuwe kuongea free and live unakuwa hauna muda wa ku-edit makosa, once you spit a word it's gone, can't take it back.
Kuandika thesis au kitabu au notice za kufundishia, au report yoyote ile unakuwa na muda wa kutosha kuandaa na kurekebisha unachotaka kusema kabla hakijafika hadharani kwa walengwa.
Ninyi akili kubwa mlio bobea ktk lugha ya kigeni mnashangaza kwa kutotambua jambo dogo kama hili.
Mara ngapi watu wanakosea kuongea hata kiswahili lugha yao ya kwanza au ya pili?
Kwanini iwe ajabu kukosea lugha ya kiingereza?
Utambue ukweli huu, binadamu anaweza kuwa ana akili sana au ana kipaji fulani kikubwa sana cha jambo mabo flani lakini unakuta hayupo vizuri kwenye kushika na kuongea lugha kwa ufasaha na mtiririko mzuri.
Au anapata shida sana kujifunza lugha mpya hata kwa miaka kadhaa.
Sababu ya alivyo zaliwa au baada ya kupata tatizo sehemu fulani ya ubongo au mfumo wa fahamu.
Kuna sehemu ya ubongo inahusika na msuala ya uwezo mkubwa wakujifunza lugha ambayo hiyo sehemu hatulingani binadamu, unakuta huyo huyo ana ufanisi wa hali ya juu sana wa sehemu nyingine ya ubongo unomwezesha kufanya vizuri mambo mengine.
Soma hapo chini mjadala kuhusu tatizo la kufanya vibaya wakati wa kujifunza lugha ya kigeni.
Kuna tafiti zinaonesha huu ni ulemavu flani unaitwa Foreign Language Learning disability (FLLD)
Msome huyu jamaa
"Joanne
December 14th, 2014
I fully believe there is a foreign language disability. I have a high IQ and graduated with honors from high school and college. I was a very motivated student but I simply could not learn a language because I could not retain the vocabulary. I was able to learn it on the short term for tests hence getting by in low level courses in high school (non-college prep Spanish.) I worked harder on Spanish than any other subject. Because I was one of the top students in my class, I was subjectively given higher grades than I actually earned, but while all my SAT scores were around 700 my Spanish SAT was 450 after three years of high school Spanish.
This kept me out of my first choice colleges and I took a major that did not require a language. When encouraged by my professors to get a PhD, I declined because there was a foreign language requirement that I knew I could not pass. I never knew what the problem was until later in life when I heard of FLLD. In my case I think it’s some sort of memory processing issue. It never made any sense because I excelled in English, including vacabulary tests. I was always well above grade level in reading. In all my classes including sciences (my ultimate major) I learned new concepts quickly and easily.
To this day I can not remember names that are foreign no matter how hard I try. They just feel like a jumble of letters that I can’t sort out, and yet English words do not, even if unfamiliar. While not all poor achievement in foreign language is FLLD, I think in some cases (perhaps a small percentage) there is an issue that would qualify as a FLLD."
Soma mjadala wote hapa
Is there a 'disability' for learning foreign languages?