Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

pole mama Ndalichako

Ukweli ni kwamba hapa kuna waliokuponda lakini vii inglish vyao majangaaaaaaaa😂😂

Watu hawajui kwamba kupresent mbele ya hadhira ni changamoto kwa Walio wengi, Hata kama unatumia Kiswahili still kama una fear of Public utaboronga tuuu.. again pole, watanzania majanga km Haya yanapitaga kama upepo, so na hili litapita tuu
 
💘💘💘
 
Usalama kazini, unaweza zungukia site kwa bahati mbaya fundi adondoshe nyundo ikukute kichwani au kipande Cha tofali, Helmet itasaidia kupunguza majeraha kabisa au kwa kiasi fulani.
Alivyoivaa inakidhi hayo uliyoyasema?
 

Kuna aliyewahi kumsikia katelefoni akiongea au kuchomekea neno lolote la kiingereza?

Hiiiiii bagosha!
 
Ilaa kuna watu wachokozi !! Yaan ww ume focus ktk english yake tu !! 😃😃😃
 
Kwan wewe hukumsikia mh Msukuma.
 
Prof. Ndalichako, kwa aliotufundisha Statistics Udsm, tunaujua umuhimu wake na Madini kichwani aliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…