Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Mokaze kwenye hii namba uliyoniandikia unaanza kutenga kwa mafungu na kabla ya fungu la mwisho ndio unaunganisha na "and". Hii namba na ya 150M ni vitu viwili tofauti.

Nimesema UK style hamna makosa kutumia and na comma pia. Ila US pia sio makosa, bali utasha mwingi. Na kumbuka mashuleni UK style ndio inatumika ( kama sijakosea).


Back to school, thank you,🤣
 
Mbona in Uk style katika 212, hapo hukuandika two hundred and twelve--, hiyo "and" hapo mbona umeiacha?? Kwa nini?? Kumbuka ile I50,000,000, ulisema in Uk style and inawekwa kwenye 150.
Kwa kuongezea ni kwamba tunatumia and kabla ya kutaja value ya mwisho.
150 = ni haki kusema One hundred and fifty. Na US wanaondoa And wanasema 'one hundred fifty'. Kwenye ile namba uliyoniandikia value ya mwisho ni 645 kwahiyo kabla ya 645 naweka and.
 
Kwa kuongezea ni kwamba tunatumia and kabla ya kutaja value ya mwisho.
150 = ni haki kusema One hundred and fifty. Na US wanaondoa And wanasema 'one hundred fifty'. Kwenye ile namba uliyoniandikia value ya mwisho ni 212 kwahiyo kabla ya 212 naweka and.



Wewe ni bank teller 🤣🤣
 
Sipendi hako ka emoji kwenye mambo ya msingi.
Okay thank you for your time.


Elimu ni furaha, ukiwa huna furaha hakuna kitu kitaingia kichwani. Hiyo falsafa na moja ya miundo mbinu ya elimu. 🙈
 
Mabeberu wanatutesa sana, kila nyaja.
 
Please, hiyo ni sayansi ya nini hasa??
The science of gambling on the future (to access risk of potential event) Tunatumia mathematics, statistics, economics and financial theory .

Nashindwa kuielezea kwa kiswahili.
 
'Make sure you have sufficient people'.

Hahah PH.d hizo na matunda yake.

Jalalani FC oyeee.

dodge
 
Na wamesoma kuanzia form 1mpk PH.d kwa mfumo wa kiingereza na hawajui kiingereza hahahah.
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Awamu ya Tano inapiga kazi balaa, mama Prop yuko site anatimiza kauli mbiu ya Hapa kazi tu, soon Tanzania itaanza kutoa misaada kwa mataifa masikini, Mama Profesa Mtaalamu anapiga ung'eng'e balaa mpaka huyo mchina anashangaa shangaa hiyo English ya ndani kabisa pale London na kama hujakaa UK huwezi kuelewa kabisa, HIVI HUYU MAMA NI PROFESA NA NI WAZIRI WA ELIMU..?? haya twendeni tu..

Uchumi unakua kwa 7% watanzania wanafurahia maisha mitaan. machinga, mamantilie hawasumbuliwi tena.. Pato la Mtanzania limekua na linazidi kukua kwa kasi..
Sawa kabisa.
tapatalk_1574965554979.jpeg


dodge
 
Back
Top Bottom