REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Wewe ndio ujui ndio maana mama unamshangaa ungekuwa unajua usingemshangaa kisa mama hana Fluency basi mnamdandia ona ona acheni unafiki na kushadadia vitu msivyovijua sidhani mtaalamu wa lugha kama anaweza sema mama kazingua hata kama mama ni prof je ukiuulizwa kakosea nini utasema hana Fluency na ndio wengi mnachoangalia hapo nakumuona mama wa ajabu mama siyo native speaker mnataka aongee vipi sasa acheni ushamba wenuKama hujui hiyo lugha hata ukiambiwa hayo makosa itakusaidia nini? Makosa lukuki!