Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Kama unashindwa kuona kosa lake liko wapi, sitoshangaa kuona na wewe ni propesa wa jalalani kama yeye tuKosa lake lipo wapi naona kila mtu anashadadia ebu tuambieni wapi kakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unashindwa kuona kosa lake liko wapi, sitoshangaa kuona na wewe ni propesa wa jalalani kama yeye tuKosa lake lipo wapi naona kila mtu anashadadia ebu tuambieni wapi kakosea
Acha porojo sema hapo alitakiwa ongea hivi kaongea hivi hapo ilitakiwa hivi ikawa hivi siyo unaakuja na maneno pinga kwa vigezo hapa ni JF siyo face bookKama unashindwa kuona kosa lake liko wapi, sitoshangaa kuona na wewe ni propesa wa jalalani kama yeye tu
Sipo hapa kutetea bali naeleza nachokijua,mtu ana Phd halafu et uje kutilia mashaka phd yake kisa hamudu kuzungumza vizuri kiingereza! Hii ni kwa sababu mnashindwa kuelewa kwanini wanashindwa kuongea vizuri kiingereza ndio matokeo yake mnaenda kuhusisha na Phd zao.
Mnashindwa kutofautisha kati ya kutokujua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza ndiyo maana mnashangaa mwenye Phd kutokumudu kuongea vizuri kiingereza.
I doubt na argue na mtu ambaye mkondo wake wa kufikiri haupo sawasawa, kuwa waziri wa elimu na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kutimiza majukumu yake kama waziri na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kama ni kikao popote pale anaweza akazungumza hata kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan lugha yetu ya taifa ni IPI? Watanzania acheni uzwazwaOne hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
You can not detect the problem when you are a problem yourselfWakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kingereza sio "mabomberstic" cha kuzungumza ni cha kawaida.Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania acheni ulimbukeni, uzwazwa na ushamba. Lugha yako ya Taifa ni IPI? Haya hebu nambie wewe unaejua kingereza na huyu Professor asiyejua kingereza umemzidi nini cha msimanga hapa? Mwenzio kwenye rekod za vitabu vya dunia na dunia inamtambua, sasa wewe unaejifnya RAIA wa United Kingdom endelea kula kingereza chako.Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
Sent using Jamii Forums mobile app
victoire mama..One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
Hujui inakuadhiri vipi? Halafu yupo sector nyeti ya elimu?Watanzania acheni ulimbukeni, uzwazwa na ushamba. Lugha yako ya Taifa ni IPI? Haya hebu nambie wewe unaejua kingereza na huyu Professor asiyejua kingereza umemzidi nini cha msimanga hapa? Mwenzio kwenye rekod za vitabu vya dunia na dunia inamtambua, sasa wewe unaejifnya RAIA wa United Kingdom endelea kula kingereza chako.
Tatizo sio lugha kushindwa kuijua, Bali ulisomaje?Kwan lugha yetu ya taifa ni IPI? Watanzania acheni uzwazwa
Kazi ya hiyo safety helmet si ni kukikinga na kukilinda kichwa dhidi ya hatari yoyote inayoweza sababisha ajali, lakini profesa hapo naona anakilinda kisogo na sio kichwa.Safety bro. At site ishu kubwa ni ku minimize Accidents as possible.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuadhiri ndo nn? Kiswahili chenyewe hujui, fluent English ndo ujue? Watanzania mna mambo, huu ulimbukeni nan kawaambukiza?