Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Yes! lazima waongee! ndiyo kazi yao, kuongea siyo ubaya unaousema wewe, ni bahati kwa muhusika ili ajitambue, akikasirika kwa sababu tu tumesema anapiga mateke bahatiAngeongea Fluently kama anakunywa maji bado watu mngegongea tu
Angeongea kiswahili then mwingine atafsiri kama mtakavyo bado mngeongea tu
Ki ufupi hamna jema kwa binadamu hasa binadamu wanaoishi Tanzania,Hakuna
utakaloweza kufanya wakakupongeza,Watu hamuangalii AIM ya waziri kukasirika
Mpo ku discuss lugha ingereza kinachotumika wakati kuna lijitu hapo limefuja hela
90mil kajenga mabanda kama hayo,Jadilini makosa ya huyo mchina basi tujue nanyi ni wa TZ
Mna uchungu na mali zenu,ila kwa mnachoendelea sitoshndwa sema nipo na wakimbizi hapa.
kama hutaki asemwe akakae na nyani wasio sema!