Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Angeongea Fluently kama anakunywa maji bado watu mngegongea tu

Angeongea kiswahili then mwingine atafsiri kama mtakavyo bado mngeongea tu

Ki ufupi hamna jema kwa binadamu hasa binadamu wanaoishi Tanzania,Hakuna

utakaloweza kufanya wakakupongeza,Watu hamuangalii AIM ya waziri kukasirika

Mpo ku discuss lugha ingereza kinachotumika wakati kuna lijitu hapo limefuja hela

90mil kajenga mabanda kama hayo,Jadilini makosa ya huyo mchina basi tujue nanyi ni wa TZ

Mna uchungu na mali zenu,ila kwa mnachoendelea sitoshndwa sema nipo na wakimbizi hapa.
Yes! lazima waongee! ndiyo kazi yao, kuongea siyo ubaya unaousema wewe, ni bahati kwa muhusika ili ajitambue, akikasirika kwa sababu tu tumesema anapiga mateke bahati

kama hutaki asemwe akakae na nyani wasio sema!
 
Eti kaweka tafsiri ya moja kwamoja kwamba "utakaa ndani" aiseee!! Huyu ndo msomi daaah bongo nehinehi!

Profesa Nguli kabisa Prop Ndalichako, wewe unataka kusema nini..

Mama anapiga kazi balaa, Mama anapiga ung'eng'e balaa mpaka watu wanaona wivu humu. Elimu ya Tanzania imekua kwa kasi toka huyu mama amekapata wizara, Heko Dr JPM kwa kumuona huyu mama na kumpa wizara.
 
Kwahiyo unataka nikubaliane na watu humu kwamba profesa hajui lugha ya kiingereza?

Naomba niseme kitu, huwa kuna vitu siku hizi naamua kujitoa akili ili katika hili ngoja nikwambie kitu fulani..

Kama umesoma toka shule ya sekondari mpaka Chuo kikuu ukapata degree, ukasoma masters degree, ukasoma PHD na mwisho ukawa Profesa.. Huko kote Lugha ya kufundishia ni KiEnglish ambayo wewe huijui kiufasaha, swali, UNAWEZAJE KUUTHIBITISHIA UMMA KAMA WEWE UNAKIJUA IPASAVYO ULICHOSOMEA WAKATI LUGHA ULIYOITUMIA KUSOMEA HUIJUI?, UNAWEZA KUELEWA ULICHOFUNDISHWA WAKATI LUGHA INAYOTUMIKA KUKUFUNDISHIA HUIJUI? Elimu ya juu kwa kiasi kikubwa inahusisha presentation ambazo hufanyika kwa KiEnglish, sasa kama huwezi hiyo Lugha unawezaje kusimama masaa mawili ukatetea projects zako na kuonyesha umahili ili waone kweli unastahili?

Ukitafakari sana utagundua ni kwanini Wataalamu wa kitanzania hawana tija, inawezekana huwa watu wengi tunakalili tu huko mashuleni na kufaulu mitihani lakini tulikuwa hatuelewi vinavyofundishwa..

Tufanye kimoja katika hivi kwa manufaa ya vizazi vyetu..
1. Tuache kabisa kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia, watu wasome kwa kiswahili mpaka vyuo vikuu.
2. Tuamue kutumia Kiingereza kama lugha rasmi kuanzia msingi mpaka vyuo vikuu na mkazo uwekwe.

Tuache janja janja tuliokoe Taifa kwenye suala zima la Elimu ili tuhakikishe tunatoa wataalamu competent na sio wasanii wanaowaza kuwa wanasiasa, Ni elimu pekee itakayookoa taifa hili kama kweli mkazo utawekwa kwa manufaa ya Tanzania na watanzania.
 
communication skills bado ni shida nakumbuka wakati naanza chuo nikiongea english nilikua nachekwa, You've taught me so much more than the subject that you teach. Thanks very much Mr.Bob😘😘😘
 
Mokaze inafahamu Insurance Company? Unafahamu kazi yake? Namna wanavyofanya kazi? Sasa kama unafahamu tunatumia hizi hesabu to figure out ni kiasi gani tutawachaji wateja wetu, kuweka financial framework kwenye product zinazo involve risk kama nyumba, gari, life insurance, pension, health care.

Sasa ili kujua ni kiasi gani tutacharge kuna Fanya a lot of calculation (statistics and analysis). Mfano kama ni gari tunaangalia driving record, umri, jinsia, location yako halafu tunalinganisha na data nyingine, za watu wengine kwenye past. From that tunatengeneza model ambayo inaproject the likelihood of you making a claim of a given year.
Kama utaonekana ni low risk, tunakupa low premium kama ni high risk tunakupa high premium as a hedge against the likelihood of making a claim.

Nyongeza, hatupo kwenye insurance company tuu.

Kuhusu imeanza lini sina uhakika ila ipo tangu miaka ya 1990




Very interesting, hivi kama nataka kuanzisha biashara je inawezekana nyinyi "factual scientists" mkachambua na kunipa projection kama biashara yangu italipa??.

Nauliza hivyo ili siku fulani nikutafute.
 
Awamu ya Tano inapiga kazi balaa, mama Prop yuko site anatimiza kauli mbiu ya Hapa kazi tu, soon Tanzania itaanza kutoa misaada kwa mataifa masikini, Mama Profesa Mtaalamu anapiga ung'eng'e balaa mpaka huyo mchina anashangaa shangaa hiyo English ya ndani kabisa pale London na kama hujakaa UK huwezi kuelewa kabisa, HIVI HUYU MAMA NI PROFESA NA NI WAZIRI WA ELIMU..?? haya twendeni tu..

Uchumi unakua kwa 7% watanzania wanafurahia maisha mitaan. machinga, mamantilie hawasumbuliwi tena.. Pato la Mtanzania limekua na linazidi kukua kwa kasi..
Huna aibu, au una joke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini ule msemo kua wanasayansi hawajui kiingereza....
 
Watanzania acheni ulimbukeni, uzwazwa na ushamba. Lugha yako ya Taifa ni IPI? Haya hebu nambie wewe unaejua kingereza na huyu Professor asiyejua kingereza umemzidi nini cha msimanga hapa? Mwenzio kwenye rekod za vitabu vya dunia na dunia inamtambua, sasa wewe unaejifnya RAIA wa United Kingdom endelea kula kingereza chako.
ok mfano mtu achukue phd ya kilimo kwa kutumia lugha ya kiswahili tunategemea hajui kiswahili kabisa mtu ametunga kitabu kwa kiswahili fasaha kikakubalika na maprofesa kwa nondo alizoandika kwa kiswahili cha kuandika makala za kisomi nakufundisha wanafunzi wa masters kwa kiswahili.maana hapa unahamishia kuwa tunaabudu kiingereza
 
Duuuuu, haya bana. Ila nadhani kwenye huu uzi kaupata mrejesho, zile nyodo itabidi akajipange upya.
Hayo ya nyodo atajua mwenyewe nachojua hata akiongea kiswahili huwa naona shida kujieleza ila mie nazungumzia kiujumla tatizo la watu kushindwa kumudu kuongea vizuri kiingereza.
 
Uprofesa wa bongo ni kukaa chuoni miaka mingi kuzidi wengine...sio uelewa au kujua mambo....kwahiyo undergraduate ulie field uko vizuri kuliko hao wakaa chuoni....ndio maana field maprof wanachemka
 
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.

View attachment 1315270

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu hupoteza muda mwingi kuongelea lugha hasa kiingereza lakini hao hao wazungu huwa wanakosea kuongea hiyo lugha yao lakini huwezi ona wanaanzisha thread kuongelea hayo mapungufu. Slavery mentality sijui lini itatutoka vichwani mwetu.
 
Back
Top Bottom