Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hujaelimika! Ukielimika utajua mkuu!
Dah....viingereza vipo vingi Sana.na Ni tofauti tofauti....kipo cha uingereza...Cha Marekani...India...Jamaika....Naijeria.....nk....msiojua hicho ndicho kiingereza cha kitanzania....[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
  • Thanks
Reactions: UCD
kwamba mlitaka aongee kama anakunywa maji, sema lafudhi zetu za makabila zinafanya kiingereza kutoteleza kwenye ulimi. sijaona shida sana hapo
Hujaona shida ya alivyoongea Ndalichako kwa vile na wewe ni hujui kama Ndalichako. Hatumlaumu kwa lafidhi bali kwa direct translation na broken grammar.
 
Hujaona shida ya alivyoongea Ndalichako kwa vile na wewe ni hujui kama Ndalichako. Hatumlaumu kwa lafidhi bali kwa direct translation na broken grammar.
Unaona sasa unafikiri ukiwa unaongea lazima ufuate grammar? Kweli hujaelimika nafikiri ukielimika utajua kuwa lugha ya kuongea hawafuati grammar mkuu kama unavyofundishwa darasani
 
Kwa hiyo unamaanisha waliosoma Canada na USA ni less competent kuliko waliosoma Bongo?
Mbona kuna maprof kutoka Asia wanaongea kiingereza kibovu tu, na wanafundisha nchi za magharibi.
Mama hayupo fluent kwenye English, lakini hiyo sio sababu ya kusema elimu yake ina walakini.
Tena mama mwenyewe kasoma mathematics, hata research papers za mathematics na statistics hazina mbwembwe nyingi.
Nini kusoma Canada? Mbona nchi za USA na Canada ndiyo zinaongoza duniani kwa Diploma Mills zile alizozitaja Msemakweli kwenye kitabu chake cha Degree fake. Hakuna Mtanzania aliyewahi kwenda USA au Canada aka disco. Ukienda Canada utarudi na degree tu. Huyu ni zao la degree za chupi za UDSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ajabu gani hapo sasa? Wabongo kwakujishongondoa tu hatujambo, utasikia mtu anamsifia mzungu anaeboronga kiswahili huku akimcheka mbongo mwenzie abaeboronga kiingereza, amaa kweli utumwa bado tunao

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tumcheke tena sana. Philip Mulugo mwaka 2009 akiwa Naibu Waziri wa Elimu aliwahi kutoa mada nje ya nchi na alisemwa sana. Angalao unaweza ukamsamehe Mulugo kwa vile alikuwa ni Naibu Waziri mwenye vyeti feki.

Huyu ambaye ni full Minister na ni Professor mwenye PhD anashindwa ku compose sentensi mbili nyepesi, ni aibu kwa Taifa. Yswezekana naye ana vyeti feki
 
Hapimwi kwa kuongea kiingereza!
 
Kwa hiyo unamaanisha waliosoma Canada na USA ni less competent kuliko waliosoma Bongo?
Mbona kuna maprof kutoka Asia wanaongea kiingereza kibovu tu, na wanafundisha nchi za magharibi.
Mama hayupo fluent kwenye English, lakini hiyo sio sababu ya kusema elimu yake ina walakini.
Tena mama mwenyewe kasoma mathematics, hata research papers za mathematics na statistics hazina mbwembwe nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anasimamia vipi kutetea tafiti zake? Nani atakupa marks kwa broken hiyo?
Guys we have to be serious otherwise tutaendelea kupigwa na Ugandans and Kenyans in the East African Labour market
 
Kwani elimu ni kujua kiingereza? Unafikiri kujua Kiingereza ndiyo kuelimika mkuu? Unasumbuliwa na utumwa wa akili siku ukielimika utajitambua!
Kwa hiyo na wewe hujui Kiingereza kama Ndalichako? Utakesha kutetea na kichwa kitakuuma, andaa Panadol tu. Hatulali leo.

Kama kujua Kiingereza siyo Elimu, kwa nini medium of instruction ya Tanzania kuanzia Form 1 to University level ni English? Kwa nini tunasoma kama somo kwenye Primary to O-Level?

And lastly kwa nini Ndalichako mwenyewe aliamua kujibu kwa Kiingereza? Si alidhani anajua?

Acheni kutetea udhaifu na ujinga
 
Hapo ndio mashaka yanapoanzia mkuu.
Ni wazi mkuu isingewezekana kufika hapo kielimu pasina kuelewa lugha anayofundishiwa. Haya matatizo ya kushindwa kuongea vizuri kiingereza yapo na yana sababu zake lakini sio kutilia mashaka elimu ya mtu sababu tu hawezi kuongea vizuri kiingereza.
 
Kwa hiyo na wewe hujui Kiingereza kama Ndalichako? Utakesha kutetea na kichwa kitakuuma, andaa Panadol tu. Hatulali leo.

Kama kujua Kiingereza siyo Elimu, kwa nini medium of instruction ya Tanzania kuanzia Form 1 to University level ni English? Kwa nini tunasoma kama somo kwenye Primary to O-Level?

And lastly kwa nini Ndalichako mwenyewe aliamua kujibu kwa Kiingereza? Si alidhani anakuja?

Acheni kutetea udhaifu na ujinga
Hivi kipimo cha mtu kujua lugha ni kipi? Yani ni vigezo gani vinatumika hadi kusema fulani anajua lugha?
 
Back
Top Bottom